Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu.
Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi.
Sasa hivi ofisi za umma parking tunagombania, watumishi tunalala mahali pazuri sasa yaani tuna nyumba nzuri za kisasa.
Watumishi ndio wamiliki wa hizi biashara nyingi mjini kwasasa (sijasema biashara zote mnielewe nguchiro).
Rais Samia inatosha sasa peleka maji kila nyumba Tanzania hii, inawezekana, umeme umeweza hutashindwa issue ndogo ya maji.
Mwaka wa fedha 2026/2027 na 2027/2028 usituongezee mshahara, ikilazomika iwekwe annual increment tu, na hata usipoweka increment sio taabu.
2028/29 ndipo ufanye tena maajabu yako mama.