Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Alipe DENI LA TAIFA ndio MUHIMU.Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu.
Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi.
Sasa hivi ofisi za umma parking tunagombania, watumishi tunalala mahali pazuri sasa yaani tuna nyumba nzuri za kisasa.
Watumishi ndio wamiliki wa hizi biashara nyingi mjini kwasasa (sijasema biashara zote mnielewe nguchiro).
Rais Samia inatosha sasa peleka maji kila nyumba Tanzania hii, inawezekana, umeme umeweza hutashindwa issue ndogo ya maji.
Mwaka wa fedha 2026/2027 na 2027/2028 usituongezee mshahara, ikilazomika iwekwe annual increment tu, na hata usipoweka increment sio taabu.
2028/29 ndipo ufanye tena maajabu yako mama.
Hiyo 2% ya chama usimpaumu Rais.Alipe DENI LA TAIFA ndio MUHIMU.
Maana PAYE anayokata ni TISHIO kabisa. Ukijumlisha na 2% ya mavyama ya wafanyakazi ya kitapeli.
Nasikia na MASIKINI wa TASAF wanatakiwa kukatiwa BIMA YA WOTE na wafanyakazi hao hao kwa kuwakata 6% ya mshahara yao kila mwezi.
Safi saaana.
Nadhani una bahati tu.Hiyo 2% ya chama usimpaumu Rais.
Mimi mwaka wa 11 sasa siko kwenye chama chochote.
Watumishi mjifunze kujua haki zenu
Una akili sana!Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu.
Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi.
Sasa hivi ofisi za umma parking tunagombania, watumishi tunalala mahali pazuri sasa yaani tuna nyumba nzuri za kisasa.
Watumishi ndio wamiliki wa hizi biashara nyingi mjini kwasasa (sijasema biashara zote mnielewe nguchiro).
Rais Samia inatosha sasa peleka maji kila nyumba Tanzania hii, inawezekana, umeme umeweza hutashindwa issue ndogo ya maji.
Mwaka wa fedha 2026/2027 na 2027/2028 usituongezee mshahara, ikilazomika iwekwe annual increment tu, na hata usipoweka increment sio taabu.
2028/29 ndipo ufanye tena maajabu yako mama.
Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu.
Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi.
Sasa hivi ofisi za umma parking tunagombania, watumishi tunalala mahali pazuri sasa yaani tuna nyumba nzuri za kisasa.
Watumishi ndio wamiliki wa hizi biashara nyingi mjini kwasasa (sijasema biashara zote mnielewe nguchiro).
Rais Samia inatosha sasa peleka maji kila nyumba Tanzania hii, inawezekana, umeme umeweza hutashindwa issue ndogo ya maji.
Mwaka wa fedha 2026/2027 na 2027/2028 usituongezee mshahara, ikilazomika iwekwe annual increment tu, na hata usipoweka increment sio taabu.
2028/29 ndipo ufanye tena maajabu yako mama.
Inasikitisha nini wewe nguchiro?