Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Huwezi kujua vyote, ndo maana kila siku inahitaji kujifunza. Kuna TAPSEA pia ni Chama cha makatibu muktasi Tanzania.Duh sijawahi kujua Kama Kuna chama Cha aina hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kujua vyote, ndo maana kila siku inahitaji kujifunza. Kuna TAPSEA pia ni Chama cha makatibu muktasi Tanzania.Duh sijawahi kujua Kama Kuna chama Cha aina hii.
Asante Sana mkuu.Huwezi kujua vyote, ndo maana kila siku inahitaji kujifunza. Kuna TAPSEA pia ni Chama cha makatibu muktasi Tanzania.
We nae punguwani.kama sio taaluma ni nini? Hivi wewe unaweza kukaa pale ujue folio hii inaenda wap.? Dispatching na kujua mafail wakina nani wamelala nayo hawayatoi na kuyapa kumb namba na mfumo kuyaona yanavotembea.au unafikir rahis kama unavyotawazaga na kopo lako la majiKwamba records management nayo ni profession? Ukarani masjala nao ni taaluma eti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa AICC, ARUSHA leo tarehe 27 Novemba, 2022
Akifungua mkutano huu, Rais amewashauri wanataaluma wa kada hii kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu ili haki za watu siziende kudhurumiwa kwani wao ndiyo roho ya serikali.
Kuhusu kumbukumbu za serikali kuonekana mitandaoni mfano barua, wale wa mahakamani kesi ilivyohukumiwa na nyaraka zingine, Rais amesema “Sasa unajiuliza, huyu aliyetoa hizi taarifa anataka umaarufu, rushwa au kitu gani, kwa sababu ulichokifanya, kama kumbukumbu ile inakwenda kumtoa mtu kwenye hatia, au inakwenda kusababisha lolote lile kule nje, chanzo ni wewe uliyekubali kuchukua pesa kutoa hiyo kumbukumbu”
Akifafanua zaidi, Rais Samia amesema kuwa pesa hizo haziwafikishi mbali, bali kuleta uchonganishi ndani ya nchi. Kutoa taarifa za Serikali nje pasipo kufuata taratibu sahihi unakuwa hujafanya jambo la maana.
“Niwaombe sana na niwaase, watunza kumbukumbu wenzangu, mimi mama yenu, sisi wazazi wenu, hatukufanya hivyo. Na ninyi tunzeni siri za Serikali. Nendeni mkafanye kazi kwa weledi na uaminifu mkubwa” amesema.
Pia, Rais ametoa hakikisho la kuwalinda wafanyakazi wa kada hii kwa kutambua kuwa wao ndiyo kitovu cha kazi zote za Serikali.
Haa ndo alikanzia huko kaungaunga hatimaye uraisi ukamwaangukiaMkuu ndio taaluma ya Rais wako usiibeze,kwenye hilo kongamano ndio yupo uwanja wa nyumbani.
Duh! Na kopo la maji umewekewa huko masjala 😆😆😆.au unafikir rahis kama unavyotawazaga na kopo lako la maji