Rais Samia, wewe ndiye Rais, Usitishwe na Wahuni waliojaa Ndani ya Dola

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wasikudanganye Kwa Wimbo wa Amani bila HAKI.

Wasikudanganye kwamba Upinzani unataka kuleta Machafuko .

Wasikudanganye kwamba, Ulifanya Mabadiliko tu Nchi inaingia vitani.

Wasikutishe, Wasikutishe .

Inawezekana pengine, wameshakuweka kiganjani kwa kukupa Keki ya Miaka Mitano na wakakuapia Kwa Jasho na Damu wewe ndie Rais

Jiulize, Haukuomba Umakamu, Wala Haukuomba Urais, Ila ukawa Makamu na Ukawa Rais !!.

Ninkweli kabisa, Mateso na Manyanyaso na maumivu ambayo HAWA WAHUNI waliwapitisha Watu wakati wa Magufuli, ndiko kulikufanya UWE RAIS .

Narudia tena, MH RAIS , Mateso , Manyanyaso na Maumivu ambayo Serikali ya Magufuli iliwapa Watanzania, NDIO YALIKUFANYA UWE RAIS ,Si kwa mkono Wala akili za Mwanadamu Bali Kwa Mkono wa yule aliye Juu .

Itakufaa nn kua Rais kwenye Damu mbichi? Damu na Ulemavu Kwa Watanzania? Tazama, Umekua Makamo kwa miaka 6, umekua Rais wa Miaka 4, kama ni Raha na utamu wa Urais hamna usichokijua

MH RAIS ,Toka kwao ,Usiwe miongoni mwao , Usiitie Mikono yako Damu, wewe ni Rais.

Kosa kubwa ulolifanya ni KUACHA WAHUNI WAKUINGIZE KWENYE Harakati zao za Mauaji na Uminywaji wa HAKI.

Kosa lako la Kukaa kimya watu walipoanza kutekwa, ukakaa kimya walipoanza kuliwa, Sasa WAHUNI wanakuchukulia wewe ni sehemu nayo, Kwa Sasa wanafanya watakavyo, kwakua wamekunywesha Damu ya watu ,nawee wajihisi Hatia, Njia pekee walokuzamisja uichague ni NJIA ILE YA UGUMU "

Unayo Nafasi ya kurudi kama ulivyokua 2021-2022!!.

MH RAIS , usipotumia Urais wako ,MUNGU ATAINGILIA KATI , MUNGU ATAKATA MZIZI NA MTI UTAANGUKA .

MH RAIS ,ukumbuke kua, pamoja na kuzungukwa na Walinzi wenye silaha Kali ,magari elfu Kwa elfu na Kila aina ya Ulinzi, Bado Rais MAGUFULI, akawa HAYATI
 
We mjinga mkubwa!
 
Dokta leo umewaweka wangapi MAH0G0 ?!!

Dola haiendeshwi kwa HISIA....

Linda miguu na mikono yak0.....
 
Tz tuna ujinga mwingi... Hizi ngonjera huyo Bibi hawezi kuzisikia... Binafsi natamani tuchapane mikono ccm waungane na Polisi wao afu tupambane nao tuone kama heshima haitapatikana... Hakuna haki inayoombwa mitandaoni na makanisani... Haki hupatikana kwa damu na jasho full stop!!.
Lissu hayupo gerezani kwa bahati mbaya anateseka akiamini haki ipo kwa damu na jasho tu, wtz tuache hizi ngonjera hatuwezi kuingia barabarani tukae kimya sio kila muda kuja na ngonjera za kumuomba ajuza vitu ambavyo ni haki yetu. Wasudani wanaadabishana huko,kenya wanachapana kila siku, Tz tupo kujidanganya na amani ya kijinga. Mtu anayetaka amani hajui KESHO yeke ikoje, hajui maisha ya mwanae yatakuwaje KESHO... Kwa moyo wangu ulipofikia natamani hata mungu alipue Nchi mzima .😭😭😭😭
 
Wasikudanganye Kwa Wimbo wa Amani bila HAKI.

Wasikudanganye kwamba Upinzani unataka kuleta Machafuko .

Wasikudanganye kwamba, Ulifanya Mabadiliko tu Nchi inaingia vitani.

Wasikutishe, Wasikutishe .

Inawezekana pengine, wameshakuweka kiganjani kwa kukupa Keki ya Miaka Mitano na wakakuapia Kwa Jasho na Damu wewe ndie Rais

Jiulize, Haukuomba Umakamu, Wala Haukuomba Urais, Ila ukawa Makamu na Ukawa Rais !!.

Ninkweli kabisa, Mateso na Manyanyaso na maumivu ambayo HAWA WAHUNI waliwapitisha Watu wakati wa Magufuli, ndiko kulikufanya UWE RAIS .

Narudia tena, MH RAIS , Mateso , Manyanyaso na Maumivu ambayo Serikali ya Magufuli iliwapa Watanzania, NDIO YALIKUFANYA UWE RAIS ,Si kwa mkono Wala akili za Mwanadamu Bali Kwa Mkono wa yule aliye Juu .

Itakufaa nn kua Rais kwenye Damu mbichi? Damu na Ulemavu Kwa Watanzania? Tazama, Umekua Makamo kwa miaka 6, umekua Rais wa Miaka 4, kama ni Raha na utamu wa Urais hamna usichokijua

MH RAIS ,Toka kwao ,Usiwe miongoni mwao , Usiitie Mikono yako Damu, wewe ni Rais.

Kosa kubwa ulolifanya ni KUACHA WAHUNI WAKUINGIZE KWENYE Harakati zao za Mauaji na Uminywaji wa HAKI.

Kosa lako la Kukaa kimya watu walipoanza kutekwa, ukakaa kimya walipoanza kuliwa, Sasa WAHUNI wanakuchukulia wewe ni sehemu nayo, Kwa Sasa wanafanya watakavyo, kwakua wamekunywesha Damu ya watu ,nawee wajihisi Hatia, Njia pekee walokuzamisja uichague ni NJIA ILE YA UGUMU "

Unayo Nafasi ya kurudi kama ulivyokua 2021-2022!!.

MH RAIS , usipotumia Urais wako ,MUNGU ATAINGILIA KATI , MUNGU ATAKATA MZIZI NA MTI UTAANGUKA .

MH RAIS ,ukumbuke kua, pamoja na kuzungukwa na Walinzi wenye silaha Kali ,magari elfu Kwa elfu na Kila aina ya Ulinzi, Bado Rais MAGUFULI, akawa HAYATI
Sikuwahi kuwaza hata siku moja kama wewe jamaa ni mpumbavu kiasi hiki.
 
Acha gubu usimtishe rais wetu. Hatakufa kamwe
 
Wewe ni chawa?
 
Back
Top Bottom