Rais Samia yuko bize kujitengenezea "Augustino Mrema" wake kupitia Makonda

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.

Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.

CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.
 
Hilo lipo wazi,ni suala la muda tu Mama atakosa udhibiti ndani ya chama na serekali.

Kazi anayoifanya Makonda ni kujijenga yeye mwenyewe badala ya kujenga chama kama taasisi.
 
Jukumu la kwanza la Mwanasiasa yoyote makini ni Kujijenga yeye binafsi

Chama kinategemea Watu na Siyo Watu wanategemea Chama kama ilivyo kwa Chama kikongwe CCM

Unadhani kwanini Chadema haifi? Ni kwa sababu ina Watu
 
Mi hata sijaelewa unamaanisha nini?
Mtoto ni mtoto tu akifanya vema anaheshimisha familia na akifanya vibaya anaaibisha familia
 
Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.

Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.

CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.
Wewe mwanamke hebu achana na MAKONDA,wivu wako ni wa kijinga na kimalayamalaya sana
 
Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.

Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.

CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.
Utapata aibu Acha kuongea mambo kama haya kama wewe ni mwanamke Sawa lakini kama wewe ni mwanaume oooh my god kunashida mahali
 
Back
Top Bottom