Hilo lipo wazi,ni suala la muda tu Mama atakosa udhibiti ndani ya chama na serekali.Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.
Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.
CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.
Wewe mwanamke hebu achana na MAKONDA,wivu wako ni wa kijinga na kimalayamalaya sanaNaona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.
Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.
CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.
Utapata aibu Acha kuongea mambo kama haya kama wewe ni mwanamke Sawa lakini kama wewe ni mwanaume oooh my god kunashida mahaliNaona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.
Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.
CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.