Ukiuingia nyumbani mwako unatumia mlango mkuu ndo uingie milango ya ndani vyumbani nk.Hebu fafanua unaposema TZ imeibeba dunia unamanisha nini
Let's keep watchingNdugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.
Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.
Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Tanzania ndiyo Nchi imeibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho,
Ni Nchi ya AGANO.
Kuondoka Kwa Magu kutasababisha Dunia kupitia njia ngumu sana Hadi pale Nuru itapoangaza tena NYIKANI.
Aamen
Yani ilikuwa siku mbaya na nzito wingu jeusi lilitanda na hiyo ilikuwa ni ishara mbaya kwa Sisi watu tunaoona rohoni tulijua kabisa nchi inaingia kwenye Giza Nene Mungu atusaidieTanzania itachukua Miaka mingi sana kumpata Rais kama Magufuli Ambae alikua kama baba kwa watu wake.
Siku Alipo fariki Tanzania tuliondokewa na MTU muhimu sana. Mungu Aturehemu watanzania.
Ufunuo 12:6.Duh. Ushahidi wa maandiko tafadhari.
Mjomba ni mamaNdugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.
Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.
Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Ufunuo 12:6.
Yule mwanamke akakimbilia NYIKANI Mahali ambapo pameandaliwa na Mungu, Ili wamlishe huko siku elfu mia mbili na sitini.
NB: Mwanamke ni KANISA, au mtu mmoja mmoja amwaniniye Yesu Kristo.
NYIKANI ni Tanga NYIKA. Hiyo Nchi ndiyo hiyo ilozikwa, mipaka yake inajumuisha Nchi zaidi ya Tano EA.
Tetemeko linakuja kuitenga Nchi hiyo Ili iwe salama Kwa maficho na kimbilio Kwa mataifa. Itakuwa bara ndani ya bara la Africa. Itamegeka.
Amen
Labda kaenda Hija, nayo tunatakiwa kufahamishwa?Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Sijamuona Faiza hapa akisema chochote kuhusu kupotea kwake (rais), kitu ambacho siyo kawaida. Kuna watu wanasema ndege ya rais iko Saudia, navyofahamu kutakuwa na mkutano wa kujadili vita kati ya Ukraine na Russia utakaofanyika Saudia, ambapo nchi za Afrika zilizokataa kuilaani Russia zimekaribishwa.Labda kaenda Hija, nayo tunatakiwa kufahamishwa?
Faiza ajitokeze atoe somo hapa.
πππ€£πππNdugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.
Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.
Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Nani kakudanganya kuwa huyu mama ni rais!Hoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. πππ
Shida ya watanzania hasa wapinzani wanadhani siasa ni kuongeaongea tu. Hata nchi za nje uwezi kukuta mikutano ya mara kwa mara. Kikubwa ni kujenga hoja yenye sera nzuri kwa faida ya watanzania.Tanzania itachukua Miaka mingi sana kumpata Rais kama Magufuli Ambae alikua kama baba kwa watu wake.
Siku Alipo fariki Tanzania tuliondokewa na MTU muhimu sana. Mungu Aturehemu watanzania.
Funguka.Nani kakudanganya kuwa huyu mama ni rais!
Wabongo tusiwe kila jambo tunahoji, ukiona Rais kasafiri nje ya nchi bila Waziri wa mambo ya nje au bila ujumbe wa serikali na bila kutangazwa ujue ni safari binafsi, na hilo lipo kila mahali. Vile vile Rais wa nchi kikatiba anakaimisha utendaji serikalini kwa wasaidizi wake ndio maana kila kitu kinakwenda vizuri na nchi inaamani safi kabisa.hilo linafanyika duniani kote na huskii watu wakihoji au kukejeli mitandaoni kama huku kwetu.Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.
Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.
Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Unaishi nchi gani wewe natamani nikupasue hilo bichwa lakoBei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.
Asikusumbue mkuu vitu vya kufikirika hivyoHebu fafanua unaposema TZ imeibeba dunia unamanisha nini
Huyu mama amekosea wapi hapendwi kiasi hiki?Kile kikohozi cha siku ya mashujaa hakijapona?
Acha ndoto za mchanaYani ilikuwa siku mbaya na nzito wingu jeusi lilitanda na hiyo ilikuwa ni ishara mbaya kwa Sisi watu tunaoona rohoni tulijua kabisa nchi inaingia kwenye Giza Nene Mungu atusaidie
Lakini wahusika wameenda hija labda watarekebisha Hilo gizaYani ilikuwa siku mbaya na nzito wingu jeusi lilitanda na hiyo ilikuwa ni ishara mbaya kwa Sisi watu tunaoona rohoni tulijua kabisa nchi inaingia kwenye Giza Nene Mungu atusaidie