Rais Samia yuko wapi?

Rais Samia yuko wapi?

Hebu fafanua unaposema TZ imeibeba dunia unamanisha nini
Ukiuingia nyumbani mwako unatumia mlango mkuu ndo uingie milango ya ndani vyumbani nk.

Hapa Duniani, Taifa kama lango la kupitisha baraka au ....Kwa Dunia ni Hapa Tanzania.

Ni Nchi ilochaguliwa kubeba image ya Mungu duniani.

Hapa ndipo Mahali pekee duniani unaweza pata Upendo wa Mungu kupitia watu wake.

Ni Tanzania ambapo Dunia nzima itapelekewa INJILI ya ufalme sawasawa na Mathew 24 kabla ya UNYAKUO wa KANISA.

Uwepo wa Wana wa Mungu duniani ndiyo sababu ya Amani angalau kidogo inayoonekana duniani.

Kwa uchache ndo hivyo.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Let's keep watching
 
Tanzania ndiyo Nchi imeibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho,

Ni Nchi ya AGANO.

Kuondoka Kwa Magu kutasababisha Dunia kupitia njia ngumu sana Hadi pale Nuru itapoangaza tena NYIKANI.

Aamen

Duh. Ushahidi wa maandiko tafadhari.
 
Tanzania itachukua Miaka mingi sana kumpata Rais kama Magufuli Ambae alikua kama baba kwa watu wake.

Siku Alipo fariki Tanzania tuliondokewa na MTU muhimu sana. Mungu Aturehemu watanzania.
Yani ilikuwa siku mbaya na nzito wingu jeusi lilitanda na hiyo ilikuwa ni ishara mbaya kwa Sisi watu tunaoona rohoni tulijua kabisa nchi inaingia kwenye Giza Nene Mungu atusaidie
 
Duh. Ushahidi wa maandiko tafadhari.
Ufunuo 12:6.

Yule mwanamke akakimbilia NYIKANI Mahali ambapo pameandaliwa na Mungu, Ili wamlishe huko siku elfu mia mbili na sitini.

NB: Mwanamke ni KANISA, au mtu mmoja mmoja amwaniniye Yesu Kristo.

NYIKANI ni Tanga NYIKA. Hiyo Nchi ndiyo hiyo ilozikwa, mipaka yake inajumuisha Nchi zaidi ya Tano EA.

Tetemeko linakuja kuitenga Nchi hiyo Ili iwe salama Kwa maficho na kimbilio Kwa mataifa. Itakuwa bara ndani ya bara la Africa. Itamegeka.

Amen
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Mjomba ni mama
 
Nakushukuru sana mkuu. Ingawa naona EA ni zaidi ya 5, ama andiko limechelewa kutimia?
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Labda kaenda Hija, nayo tunatakiwa kufahamishwa?
Faiza ajitokeze atoe somo hapa.
 
Sijamuona Faiza hapa akisema chochote kuhusu kupotea kwake (rais), kitu ambacho siyo kawaida. Kuna watu wanasema ndege ya rais iko Saudia, navyofahamu kutakuwa na mkutano wa kujadili vita kati ya Ukraine na Russia utakaofanyika Saudia, ambapo nchi za Afrika zilizokataa kuilaani Russia zimekaribishwa.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
😆😂🤣😄😄😄
 
Hoja yako imekosa busara sana. Suala la mwanamke na uongozi linakujaje? Huyu ni Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu usimwite majina yasiyo na heshima ndugu. 🙏🙏🙏
Nani kakudanganya kuwa huyu mama ni rais!
 
Tanzania itachukua Miaka mingi sana kumpata Rais kama Magufuli Ambae alikua kama baba kwa watu wake.

Siku Alipo fariki Tanzania tuliondokewa na MTU muhimu sana. Mungu Aturehemu watanzania.
Shida ya watanzania hasa wapinzani wanadhani siasa ni kuongeaongea tu. Hata nchi za nje uwezi kukuta mikutano ya mara kwa mara. Kikubwa ni kujenga hoja yenye sera nzuri kwa faida ya watanzania.

Magufuli alilaumiwa sana ni kwa sababu tu alikata mizizi ya watu fulani kupiga dili. Na wengine walidhani nchi hii ni yao hivyo wataendelea kuwepo kwenye madaraka. Magufuli aliwatema! Walimchukia na kumzushia mengi.
Na laana itawatafuna!

Tusubiri kabla ya uchaguzi yatatokea mengi ambayo watanzania hawatoamini. Mambo mengi yako katika nguvu ya kiroho. Kuna watu wanadhani ndo wamefika. Yaja siku Taifa halitoamini. Nchi itanyamaza! Kutatanda wimbi la ukimya.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Wabongo tusiwe kila jambo tunahoji, ukiona Rais kasafiri nje ya nchi bila Waziri wa mambo ya nje au bila ujumbe wa serikali na bila kutangazwa ujue ni safari binafsi, na hilo lipo kila mahali. Vile vile Rais wa nchi kikatiba anakaimisha utendaji serikalini kwa wasaidizi wake ndio maana kila kitu kinakwenda vizuri na nchi inaamani safi kabisa.hilo linafanyika duniani kote na huskii watu wakihoji au kukejeli mitandaoni kama huku kwetu.
 
Yani ilikuwa siku mbaya na nzito wingu jeusi lilitanda na hiyo ilikuwa ni ishara mbaya kwa Sisi watu tunaoona rohoni tulijua kabisa nchi inaingia kwenye Giza Nene Mungu atusaidie
Acha ndoto za mchana
 
Yani ilikuwa siku mbaya na nzito wingu jeusi lilitanda na hiyo ilikuwa ni ishara mbaya kwa Sisi watu tunaoona rohoni tulijua kabisa nchi inaingia kwenye Giza Nene Mungu atusaidie
Lakini wahusika wameenda hija labda watarekebisha Hilo giza
 
Back
Top Bottom