Ukiuingia nyumbani mwako unatumia mlango mkuu ndo uingie milango ya ndani vyumbani nk.Hebu fafanua unaposema TZ imeibeba dunia unamanisha nini
Hapa Duniani, Taifa kama lango la kupitisha baraka au ....Kwa Dunia ni Hapa Tanzania.
Ni Nchi ilochaguliwa kubeba image ya Mungu duniani.
Hapa ndipo Mahali pekee duniani unaweza pata Upendo wa Mungu kupitia watu wake.
Ni Tanzania ambapo Dunia nzima itapelekewa INJILI ya ufalme sawasawa na Mathew 24 kabla ya UNYAKUO wa KANISA.
Uwepo wa Wana wa Mungu duniani ndiyo sababu ya Amani angalau kidogo inayoonekana duniani.
Kwa uchache ndo hivyo.