King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mitano Tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliandika yamepanda Kwa TZS 350+ ukasema sio kweli, unaelewa maana ya ile "+" pale mbele ya 350???Ni zaidi ya uliyosema, elewa kuwa mafuta yanapanda kutokana na umbali, bei ya Mtwara haiwezi lingana na ya Tabora au Mbeya au Msoma nk
Ulitaka umuone Feri anazulura! Yuko ofisini anachapa kazi.Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.
Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.
Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
Kauli iliyotugharimu!!!Ulitaka umuone Feri anazulura! Yuko ofisini anachapa kazi.
Wanaombeza Mwalimu Nyerere kukataa Fedha za IMF ambazo zilikuwa na masharti magumu, angekubali masharti ya IMF wasingesoma hata kufika Kidato cha Nne.Upungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!
Mwalimu alikataa kushusha thamani ya pesa ya Tanzania ili akopeshwe fedha za kigeni na IMF !!
Mpe somo kazaliwa 2000 mambo ya nyerere ayajulie wapi. Jf inawajinga wengi hivi mtu anadiriki kulinganisha kipindi tumetoka vitani na sasa ambapo tunachukua mikopo inayoumiza na ufisadi uliozidiUpungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!
Mwalimu alikataa kushusha thamani ya pesa ya Tanzania ili akopeshwe fedha za kigeni na IMF !!
Kabisa kabisa !!Wanaombeza Mwalimu Nyerere kukataa Fedha za IMF ambazo zilikuwa na masharti magumu, angekubali masharti ya IMF wasingesoma hata kufika Kidato cha Nne.
Kwakweli !Mpe somo kazaliwa 2000 mambo ya nyerere ayajulie wapi. Jf inawajinga wengi hivi mtu anadiriki kulinganisha kipindi tumetoka vitani na sasa ambapo tunachukua mikopo inayoumiza na ufisadi uliozidi
Na wale wapigaji pale bandarini wataacha kale katabia 😅😅🙏🙏🙏Mkimuona mwambieni, arudishe bandari zetu huo ndio urithi wetu.
Kwani mtu si anaweza akapona na ghafla akazidiwa na kufa?
Wewe ni mingoni mwa covid 19?Kwani mtu si anaweza akapona na ghafla akazidiwa na kufa?
Mama yupo sana tu mpaka 2030 !! God willing !!Mitano Tena.
Tanzania itachukua Miaka mingi sana kumpata Rais kama Magufuli Ambae alikua kama baba kwa watu wake.Muda wa kupiga pesaa huu ,mlitutesa Sana kipindi.cha baba yenu lazima tufidiee
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Tanzania ndiyo Nchi imeibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho,Tanzania itachukua Miaka mingi sana kumpata Rais kama Magufuli Ambae alikua kama baba kwa watu wake.
Siku Alipo fariki Tanzania tuliondokewa na MTU muhimu sana. Mungu Aturehemu watanzania.
Hebu fafanua unaposema TZ imeibeba dunia unamanisha niniTanzania ndiyo Nchi imeibeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho,
Ni Nchi ya AGANO.
Kuondoka Kwa Magu kutasababisha Dunia kupitia njia ngumu sana Hadi pale Nuru itapoangaza tena NYIKANI.
Aamen