TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Hija haisaidii kitu ni mambo ya Duniani tu hayo, Dunia duara hii inazunguka kwa wakati sahihi wa Mungu litawakuta jambo kama si wao basi vizazi vyao..... vinahesabiwa mpaka kizazi cha nne mind youLakini wahusika wameenda hija labda watarekebisha Hilo giza
Mungu hachezewi