Rais Samia Yuko wapi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.

Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.

Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
 
Ikulu ya zamani Dar es Salaam
 
Yuko Ikulu kazini, ofcourse!
Ulitaka awe wapi?
 
Yuko eda zote 2
 
Ni jambo jema sana kwamba unamtambua kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingawaje wakati mwingine ukiingiwa ujinga unafikiri tofauti.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ juzi tuu ametoka kupokea mabalozi hawa watu vipi? Nafasi ya Urais wanafananisha na nafasi ya shangazi zao katika Familia?
Umejibu kishabiki sana kwa swali rahisi!

Kwanini usijibu kwa usahihi mahali alipo kama mtoa mada alivyouliza?

Na kama nawe hujui, kwanini usijinyamazie zako?
 
Kabla ya hapo je Nchimbi yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…