Rais Samia yupo kimya, natamani azungumzie matukio yanayosambaa

Mama Abdul ngoja amalize kwanza tamasha la familia yake
 
Wee jamaa,sio kila ki2 lazima rais aongelee,yeye anaongelea mambo mazito sana!!!!,,,labda issue ya LOLIONDO ambayo inagusa USALAMA wa inchi manake linaweza kugawanya mpaka umoja wa vyombo vyetu vya usalama!!! lakini ati kuongelea swala la wa2 KUMPELEKEA MOTO kale KABINTI KA YOMBO huko sio level yake kabisa!!!
 
Ubakaji uliofanywa na walinzi wa Taifa ni jambo dogo
 
Raisi kasema kaziba masikio kama chura .na amekaa kama chura kweli
 
Ubakaji uliofanywa na walinzi wa Taifa ni jambo dogo
Wee unasema hao makoplo???......rais wa zamani wa marekani akiwa madarakani alifunguliwa kesi na mwanamke mmoja akiitwa MONICA LEWINSKY...kwamba rais alimmbaka ofisini mwake na mambo yakaishia hapo??
 
Wee unasema hao makoplo???......rais wa zamani wa marekani akiwa madarakani alifunguliwa kesi na mwanamke mmoja akiitwa MONICA LEWINSKY...kwamba rais alimmbaka ofisini mwake na mambo yakaishia hapo??
Hao ni maaskari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…