Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa,sio kila ki2 lazima rais aongelee,yeye anaongelea mambo mazito sana!!!!,,,labda issue ya LOLIONDO ambayo inagusa USALAMA wa inchi manake linaweza kugawanya mpaka umoja wa vyombo vyetu vya usalama!!! lakini ati kuongelea swala la wa2 KUMPELEKEA MOTO kale KABINTI KA YOMBO huko sio level yake kabisa!!!Mpendwa wetu Rais hajatokea kuzungumza au kuonyesha kukerwa na wale askari waliombaka Binti wa Yombo na kuhusishwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
Yaani askari aliyeapa kuwalinda Watanzania Leo hadharani kwenye camera anabaka Mtanganyika mwenzetu, Bora hata angekuwa huko vitani anabaka. Waasi
Sasa hawa Watanzania watalindwa na nani kama walinzi ndo wabakaji
Natamani Rais atoke akemee na haya matukio ya askari kubaka na kiongozi wa polisi kutoa kauli ya kuishi ati aliyebakwa alikuwa kahaba, sio jambo zuri
Najua Rais anawatuma wawakilishi kufanya kazi ila kauli yake itawatia moyo wana familia hawa
Ubakaji uliofanywa na walinzi wa Taifa ni jambo dogoWee jamaa,sio kila ki2 lazima rais aongelee,yeye anaongelea mambo mazito sana!!!!,,,labda issue ya LOLIONDO ambayo inagusa USALAMA wa inchi manake linaweza kugawanya mpaka umoja wa vyombo vyetu vya usalama!!! lakini ati kuongelea swala la wa2 KUMPELEKEA MOTO kale KABINTI KA YOMBO huko sio level yake kabisa!!!
Wee unasema hao makoplo???......rais wa zamani wa marekani akiwa madarakani alifunguliwa kesi na mwanamke mmoja akiitwa MONICA LEWINSKY...kwamba rais alimmbaka ofisini mwake na mambo yakaishia hapo??Ubakaji uliofanywa na walinzi wa Taifa ni jambo dogo
Na tambua wakati mzee CLINTON akicheza KWASAKWASA na MONICA ndani ya ofisi yake,,jengo lote lilikuwa likilindwa na askari,,,tena sio askari wa kawaida,ni MAKOMANDOO!!!Hao ni maaskari