Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

Jarida Maarufu Dunia la TIME limemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa Duniani. Katika Jarida hilo aliyekuwa Rais wa Kwanza Mwanamke nchini Liberia Bi. Ellen Johnson Sirleaf amemuelezea Rais Samia kama mwanamageuzi anayependa demokrasia na maono ya mbali kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla.View attachment 2236477
Ni kweli ata hapa kwetu amekua maarufu kumpiku Mbowe sasa wako kwenye maridhiano
 
Jl
Unabishana na Mimi au na Gazeti la Times?

Wewe mzembe hufanyi kazi, unategemea hisani ya shemeji yako aluyemuoa dada yako lazima uone maisha magumu mtaani. Kafanye kazi acha umama Kaka pembe
Kama sisi tunavyotegemea pesa za hisani kutoka kwa wajomba wetu USA, ULAYA NA ARABUNI
 
Alafu huu ujinga alituanzishia magu bogaz yule imekua ndio tabia ya wengi, miaka ya nyuma huu ujinga haukuwepo
JPM hakupenda upuuzi kama huu, ndo maana aliwatukana eti wana vichwa kama GN!
 
Labda ushawishi wa kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa lake😁😁😁
 
Attachments

  • 20220521_121225.jpg
    20220521_121225.jpg
    53.5 KB · Views: 8
Time ni jarida tu kama mengine, halina issue. Alafu sababu eti ni raisi mwanamke.
Hakuna gazeti linaloitwa 'TIME' jijini New York, hawa chawa wamephotoshop na kusambaza hizo propaganda za kilevi.
 
Jarida Maarufu Dunia la TIME limemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa Duniani. Katika Jarida hilo aliyekuwa Rais wa Kwanza Mwanamke nchini Liberia Bi. Ellen Johnson Sirleaf amemuelezea Rais Samia kama mwanamageuzi anayependa demokrasia na maono ya mbali kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla.View attachment 2236477
Propaganda za kitoto sana hizi, hebu wekeni link tuone article inayoeleza hayo yote. Hilo gazeti la TIME labda lipo Lumumba.

Mimi najua kuna The New York Times.
Screenshot_20220524-113251.png
 
Ushawishi wapi ?

Kitaa au ughaibuni, Zanzibar au Tanganyika, Kwa Machifu wenzake au wasiokubaliana nae ?
 
Watanzania hawalijui gazeti la Times kwa hiyo hata kama yumo humo haina maana yoyote kwa sababu haibadilishi chochote kwa watanzania ambao ugumu wa maisha umewashinda wakati walidanganywa kwamba wapinzani ndio chanzo cha matatizo yao
 
Kamuinfuluence nani,kwa kipi alichokifanya?

Raia anapaswa asifiwe Tanzania ama Marekani?

Kwamba wamarekani ndio watuambie rais wetu ni influencial wakati sisi hatujui kitu kama hicho?

Ndio maana nchi hii ya hautakaa iendelee, ina watu wasengerema wengi sana
Kama haja ku-influence wewe jitambue siyo mlengwa wa uchumi wa soko huria, uwekezaji, utawala bora na demokrasia
 
Back
Top Bottom