Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

Kamuinfuluence nani,kwa kipi alichokifanya?

Raia anapaswa asifiwe Tanzania ama Marekani?

Kwamba wamarekani ndio watuambie rais wetu ni influencial wakati sisi hatujui kitu kama hicho?

Ndio maana nchi hii ya hautakaa iendelee, ina watu wasengerema wengi sana
Nabii hakubaliki kwao.
 
Rais Samia wa Tanzania ametajwa na Jarida la TIME 100 katika orodha ya Viongozi 100 wenye ushawishi duniani kutokana na uongozi wake na kuleta mabadiliko ikiwemo kufungua mlango wa mazungumzo kati ya Wapinzani wa kisiasa na kuongeza uhuru wa vyombo vya habari.

20220525_085759.jpg
 
View attachment 2237782
Ushawishi upi? wakati hata akienda nchi za wenzetu anapokelewa na ngambo tu.Kawadanganyeni wajinga wenzie
 
shwain mwisho wake 2024
tulia na usife tu ushuhudie
Utakufa wewe kama Magufuli na tutakuzika Chato uwe karibu na mungu wenu.

Mnadai JPM alikuwa anakubalika!! Mimi nakuuliza swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
 
Back
Top Bottom