Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

Ni kweli ata hapa kwetu amekua maarufu kumpiku Mbowe sasa wako kwenye maridhiano
 
Jl
Unabishana na Mimi au na Gazeti la Times?

Wewe mzembe hufanyi kazi, unategemea hisani ya shemeji yako aluyemuoa dada yako lazima uone maisha magumu mtaani. Kafanye kazi acha umama Kaka pembe
Kama sisi tunavyotegemea pesa za hisani kutoka kwa wajomba wetu USA, ULAYA NA ARABUNI
 
Alafu huu ujinga alituanzishia magu bogaz yule imekua ndio tabia ya wengi, miaka ya nyuma huu ujinga haukuwepo
JPM hakupenda upuuzi kama huu, ndo maana aliwatukana eti wana vichwa kama GN!
 
Labda ushawishi wa kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa lake😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Time ni jarida tu kama mengine, halina issue. Alafu sababu eti ni raisi mwanamke.
Hakuna gazeti linaloitwa 'TIME' jijini New York, hawa chawa wamephotoshop na kusambaza hizo propaganda za kilevi.
 
Propaganda za kitoto sana hizi, hebu wekeni link tuone article inayoeleza hayo yote. Hilo gazeti la TIME labda lipo Lumumba.

Mimi najua kuna The New York Times.
 
Ushawishi wapi ?

Kitaa au ughaibuni, Zanzibar au Tanganyika, Kwa Machifu wenzake au wasiokubaliana nae ?
 
Watanzania hawalijui gazeti la Times kwa hiyo hata kama yumo humo haina maana yoyote kwa sababu haibadilishi chochote kwa watanzania ambao ugumu wa maisha umewashinda wakati walidanganywa kwamba wapinzani ndio chanzo cha matatizo yao
 
Kama haja ku-influence wewe jitambue siyo mlengwa wa uchumi wa soko huria, uwekezaji, utawala bora na demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…