Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Nabii hakubaliki kwao.Kamuinfuluence nani,kwa kipi alichokifanya?
Raia anapaswa asifiwe Tanzania ama Marekani?
Kwamba wamarekani ndio watuambie rais wetu ni influencial wakati sisi hatujui kitu kama hicho?
Ndio maana nchi hii ya hautakaa iendelee, ina watu wasengerema wengi sana
Limekaa kusifiasifia ujinga tuuuUpuuzi mtupu.!
Kwa unabii upi sasa?Nabii hakubaliki kwao.
Ushawishi upi? wakati hata akienda nchi za wenzetu anapokelewa na ngambo tu.Kawadanganyeni wajinga wenzieRais Samia wa Tanzania ametajwa na Jarida la TIME 100 katika orodha ya Viongozi 100 wenye ushawishi duniani kutokana na uongozi wake na kuleta mabadiliko ikiwemo kufungua mlango wa mazungumzo kati ya Wapinzani wa kisiasa na kuongeza uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2237782
shwain mwisho wake 2024Haina shida ila 2021-25 ndiye Rais wako
Utakufa wewe kama Magufuli na tutakuzika Chato uwe karibu na mungu wenu.shwain mwisho wake 2024
tulia na usife tu ushuhudie