PostGE2025 Rais Samia yupo madarakani kwa mtutu wa Bunduki na nguvu za kijeshi? CNN imethibitisha

PostGE2025 Rais Samia yupo madarakani kwa mtutu wa Bunduki na nguvu za kijeshi? CNN imethibitisha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Kwamba kuna makaburi ya halaiki huko Kondo ? Kondo Dar es salam watu walifukiwa kwa mamia kama mbuzi?

Mwanza maiti zimeonekana zilirundwa kama magunia.

Watu hawakujitokeza kupiga kura kabisa. Maana hata 10% hawakufika.

Ila bunduki ziliwanyamazisha wananchi ambao hawautaki utawala wako.

Je hili nalo linahitaji uchunguzi? Eti kuna haki haipatikani ? Ufisadi haufanyiki? Umasikini haujatamalaki?

Je, upo madarakani kwa kura za wananchi? Kwa nini uliapishwa na wanajeshi mafichoni?
 
Mkwere amechil kimyaa na Mzee Aziz Kama sio wao vile wamemuachia mtu Banda limelalia upande.
JK kiasili ni msanii. Sijui ilikuaje Samia akamuamini. Alimtosa baharini rafiki ake kabisa Lowassa sasa Samia alifikiri yeye ni nani kwa JK.

JK alikimbia jeshini. Tabia yake ya unoko noko wenzake wakamwekea mtego wa kumfanyia kitu mbaya, akakimbia
 
Mzee Sayo×× SI bado yupo, Mkwere akaombe samahani hata ya Unafki.
 
Hii hesabu ilichezwa vibaya ndio maana wakati anazindua tume alisema yaliyotokea hakuyatarajia
 
Back
Top Bottom