Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
kazi na maadamanoKazi na Mtutu Kaka. Kuna herufi walizificha haikuwa Utu.
Mkwere amechil kimyaa na Mzee Aziz Kama sio wao vile wamemuachia mtu Banda limelalia upande.kazi na maadamano
Mambo yalivyofikia hivi sasa, banda linaweza kudondoka kabla ya D9.Mkwere amechil kimyaa na Mzee Aziz Kama sio wao vile wamemuachia mtu Banda limelalia upande.
JK kiasili ni msanii. Sijui ilikuaje Samia akamuamini. Alimtosa baharini rafiki ake kabisa Lowassa sasa Samia alifikiri yeye ni nani kwa JK.Mkwere amechil kimyaa na Mzee Aziz Kama sio wao vile wamemuachia mtu Banda limelalia upande.
Mzee Sayo×× SI bado yupo, Mkwere akaombe samahani hata ya Unafki.JK kiasili ni msanii. Sijui ilikuaje Samia akamuamini. Alimtosa baharini rafiki ake kabisa Lowassa sasa Samia alifikiri yeye ni nani kwa JK.
JK alikimbia jeshini. Tabia yake ya unoko noko wenzake wakamwekea mtego wa kumfanyia kitu mbaya, akakimbia
Alitarajia nini?Hii hesabu ilichezwa vibaya ndio maana wakati anazindua tume alisema yaliyotokea hakuyatarajia