Rais Samia: Zanzibar ni eneo dogo lakini hatarishi

Tuamke tuwafukuze huku kwetu
 
Nitafurahi sana watanganyika wakidhibitiwa kuingia kule, maana mingi haina kazi ya kufanya kule wanakuona kama ulaya
Ulaya gani nguvu kazi ya vijana wote mateja wala ngada?
 
Ananikumbusha maneno ya Nyerere, niliwahi kumsikia mahali akisema; "kama angekuwa na uwezo, angekikokota hicho kisiwa akakitupilie mbali"

Hii maana yake wazanzibari wataendelea kuwa chini ya huu muungano watake wasitake mpaka mwisho wa dahari.
Mimi nilisoma kwenye kitabu cha kwa kheri Ukoloni kwa kheri Uhuru.
 
Nitafurahi sana watanganyika wakidhibitiwa kuingia kule, maana mingi haina kazi ya kufanya kule wanakuona kama ulaya
zanzibar ni takataka ukilinganisha na manispaa au jiji lolote la bara.

yaanii ni takataka rubish kunuka
 
Zanzibar wakipewa uhuru kamili watarudisha biashara ya utumwa
 
Zanzibar wakipewa uhuru kamili watarudisha biashara ya utumwa
Ni kweli kwani Watanganyika watakuwa wanauza watoto wao kwa tamaa pesa kama ilivyokuwa awali, kwa sababu hawa wanapenda mno pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…