Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Nafurahi sana kuona. Madreva....wa ndege zetu wanapiga kazi sasa.Haya ngoja wajuvi wa mambo hayo waje
Ni mwendo wa Per DiemMgao wa posho
Mgao wa maji
Mgao wa umeme
Hongera mama SSH. Arusha tulizoea maafisa wa Jeshi la wananchi wakipewa Kamisheni yao hukuhuku Arusha. Hapa kati ghafla tulianza kushuhudia Kamisheni ikitolewa katika 'nchi ya ugenini' Magogoni DSM. Nini kilisababisha hali ile? Ilikuwa Kwa maslahi ya nani? Hongera kurudisha utaratibu unaokubalika Jeshini. Tusiichezee Jeshi la nchi hata kidogo.
Nakumbuka, siku hiyo nilikuwa pale Picnic. Tulishangaa na kusikitika sana. Nchi ilinajisiwa sana, halafu wajinga akina YEHODAYA Wakudadavuwa na manyang'au mengine yakililia legacy. Shenzi. Nchi hii imechezewa sana. Au nasema uwongo ndugu zangu?Hayo madogo, umesahau kuna siku kamisheni ya jeshi ilifanyikia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha wakapokelewa wanaccm waliohama upinzani kwenda kuunga juhudi!
Nakumbuka, siku hiyo nilikuwa pale Picnic. Tulishangaa na kusikitika sana. Nchi ilinajisiwa sana, halafu wajinga akina YEHODAYA Wakudadavuwa na manyang'au mengine yakililia legacy. Shenzi. Nchi hii imechezewa sana. Au nasema uwongo ndugu zangu?
Ilikuwa ni kuhadaa wanyonge. Sheria ipi? Akitaka kupenyeza jambo lake kwenye kadamnsai utasikia "maendeleo hayana chamaaa". Daah. Tumetoka mbali lakini kama nchi.Acha tu, na ile ni kinyume kabisa na katiba kuchanganya jeshi na siasa. Halafu alikuwa anawaambia watu wafuate sheria.
Kwani kuna shida gani? Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake!Ni mwendo wa Per Diem