Nimependa hili jina.Windhoek
Tanzania ipo SADC zaidi kuliko EAC.Itakuwa duru za intelligence zimenusa kwamba DRC kinataka kunuka.
Ukijumlisha na ule ujio wa Kagame, lazima kuna kitu
Kwa sasa Tanzania ndio mwenyekiti wa jeshi la Afrika mashariki ndio maana Kamala Halisi alikuja kujadili ishu ya amani ya maziwa makuu ,Rwanda inaiomba Tanzania isimamie zoezi la upatanishi hasa kati ya Rwanda na jumuiya ya kimataifa ,Ruto alikuwa Rwanda kanda kagame haja hapa pia rais wa Burundi kumbuka huko zamani m23 waliondoshwa na Tanzania pekee na kagame asingetaka sisi tutumie na wazungu kuwaondoa hao m23 hasa kipindi hiki cha Samia na Kikwete aliye adui mkubwa wa kagame ,Tayari Rais wa JMT yupo Namibia kwaajili ya kuzumgumzia issue ya DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) [emoji3593]
zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023. Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
BridgerRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.
Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
View attachment 2613613
Kumbe rais anakazi nyingi sana isee anachoka sana isee..Kwa sasa Tanzania ndio mwenyekiti wa jeshi la Afrika mashariki ndio maana Kamala Halisi alikuja kujadili ishu ya amani ya maziwa makuu ,Rwanda inaiomba Tanzania isimamie zoezi la upatanishi hasa kati ya Rwanda na jumuiya ya kimataifa ,Ruto alikuwa Rwanda kanda kagame haja hapa pia rais wa Burundi kumbuka huko zamani m23 waliondoshwa na Tanzania pekee na kagame asingetaka sisi tutumie na wazungu kuwaondoa hao m23 hasa kipindi hiki cha Samia na Kikwete aliye adui mkubwa wa kagame ,
Ni lazima Rwanda aje hapa kujisalimisha hata huko namibia Tanzania ina nguvu kubwa kumua nini kifanyike chini ya msuruhishi Kenyatta
Ukiacha ishi ya kongo kuna ishi ya copa Delgado ambapo sisi na Rwanda tunashirikiana kupambana na wale wavaa kobazi
USSR
Kuhudhuria mikutano ya kimataifa siyo ziara.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) tarehe 07 Mei, 2023.
Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
View attachment 2613613