Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Baniani amefilisika mpaka asaidiwe kulipa?Milioni 20 wapewe Simba walipe posho
Una uhakika hizo ndege hazitakamatwa?Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morison ili walete kombe Tz.
Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Safi sana mkuu una akili kubwa tena sana, kwanza hizi team Yanga na Simba ni mali ya serikali japo imejificha kwa mlango wa nyuma lakini tunajua hata wafadhili wasipozifadhili zitakuwepo tu.Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morison ili walete kombe Tz.
Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] kwa deni lipi?Una uhakika hizo ndege hazitakamatwa?
Umesema kweli mkuu.Safi sana mkuu una akili kubwa tena sana, kwanza hizi team Yanga na Simba ni mali ya serikali japo imejificha kwa mlango wa nyuma lakini tunajua hata wafadhili wasipozifadhili zitakuwepo tu.
Morrison ana life ban kule south hawezi tia maguu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] kwa deni lipi?
Basi huenda Morison naye PI yake itafufuliwa akienda marudiano SA labda!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mama aongee na Rama wamruhusu.Morrison ana life ban kule south hawezi tia maguu
Milioni 20 wapewe Simba walipe posho
Lini imeruka kwenda Sudan kuwarejesha watu wa Simba walioko huko? Yanga inaenda kuiletea taifa heshima (kombe), hao wa Sudan wanailetea nchi nini?[emoji38]Ndege ni kwa ajili ya watz walipo sudan,huo uchale chale wenu watu wa yanga utaisha lini?
Kuna wakati Mzee Mgaya anatema madini kama yote.Milioni 20 wapewe Simba walipe posho
Lipa nauli uende, acha kudeka.Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morisson ili walete kombe Tz.
Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ndege ni kwa ajili ya watz walipo sudan,huo uchale chale wenu watu wa yanga utaisha lini?
Mkuu hii team pamoja na ndege zote ni mali ya serikali hakuna tatizo hapo.