Rais Samia, zile milioni 10 kwa kila goli achana nazo, toa ndege zipeleke washangiliaji

Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morison ili walete kombe Tz.

Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Una uhakika hizo ndege hazitakamatwa?
 
Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morison ili walete kombe Tz.

Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Safi sana mkuu una akili kubwa tena sana, kwanza hizi team Yanga na Simba ni mali ya serikali japo imejificha kwa mlango wa nyuma lakini tunajua hata wafadhili wasipozifadhili zitakuwepo tu.
 
Umesema kweli mkuu.
Timu hizi 2 zinasaidia kujenga spirit ya kuvumiliana kwy nchi hii yenye diversity kubwa duniani. Lakini pia zinatufunza kuvumilia madhila ya serikali kwa wananchi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ndege ni kwa ajili ya watz walipo sudan,huo uchale chale wenu watu wa yanga utaisha lini?
 
Rais anadanganywa,mpaka leo hajui kama hili kombe wanalorukaruka utopolo ni kombe la waliofeli,
 
Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morisson ili walete kombe Tz.

Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Lipa nauli uende, acha kudeka.
 
Ndege ni kwa ajili ya watz walipo sudan,huo uchale chale wenu watu wa yanga utaisha lini?
1683962172758.png
 
Back
Top Bottom