Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Tushazunguka chocho zote na kujiridhisha hakuna nywinywi wala nywanywanywaEndeleeni kudharau tu.
Tushazunguka chocho zote na kujiridhisha hakuna nywinywi wala nywanywanywaEndeleeni kudharau tu.
Nchi haiwezi kuangushwa na Mange kwa sababu ya mwonekano wake!Yaani figganigga naye kawa mjinga kiasi cha kuingizwa cha like na Mange. Yaani kamange kale kawe na uwezo wa kuangusha Serikali! Hahahaha
Endeleeni kudharau tu.Yaani figganigga naye kawa mjinga kiasi cha kuingizwa cha like na Mange. Yaani kamange kale kawe na uwezo wa kuangusha Serikali! Hahahaha
Sawa tukutane tarehe 29 OktobaTushazunguka chochote zote na kujiridhisha hakuna nywinywi wala nywanywanywa
Mnayoyatamani Watanzania wameyakataaEndeleeni kudharau tu.
Sawa tukutane tarehe 29 Oktoba
Wewe subiri giza liingie uelekee klabuni ukapige ulabuWe toka ukachapwe uvunjwevunjwe kufa hautakufa ila hata hao wanao watakuona mpumbavu sana tu kushindana na mamlaka zenye vyombo vyote vya moto na ruksa kukubwagaza.
Zimebaki siku 4,
Subiri giza liingie ukalewe ulaleMnayoyatamani Watanzania wameyakataa
Usiishie kwenye keyboard, tunakuomba ujitokeze, tena uwe na kibngo chako hiyo trh 29 uone kisa cha mtema kuniSubiri giza liingie ukalewe ulale
Endeleeni tu kujidanganya nyie mafisadiMnayoyatamani Watanzania wameyakataa
Sina haja,ntakua hapa nawachora tu huku natwanga vyombo vyanguWewe subiri giza liingie uelekee klabuni ukapige ulabu
Ndio usubiri giza liingie ukapige ulabuSina haja,ntakua hapa nawachora tu huku natwanga vyombo vyangu
Sina haja kungoja giza,hata hapa nazitwanga,Ndio usubiri giza liingie ukapige ulabu
Tutakufa wote hata hapo unazotwanga haupo salama utapitiwaSina haja kungoja giza,hata hapa nazitwanga,
Nyie mkaandamane ntakua hapa nazitwanga mpaka mfe mi nazitwanga tu.
Uoga haununuliwiUsiishie kwenye keyboard, tunakuomba ujitokeze, tena uwe na kibngo chako hiyo trh 29 uone kisa cha mtema kuni