Rais Satta wa Zambia aliuawa kwa kugundulika Mtanzania. Emanuel Mwamba akazuiwa kwa same reason

Hahahaha, hata huu wa Satta kwani ni mpya? OK nami kubishanaga siwezi, nasoma na kuweka like basi
 
Ndio sifa yetu waafrika. Kubaguana. Especially tukiona mwenzetu amepiga hatua za maendeleo. Tunatumia nguvu kubwa kujidanganya nafsi, kama itakuwa rahisi kufikia alipofikia.
Angalia kinachotokea South Africa every after a while
 
Tuache conspiresi za kijinga. Kila mtu anayekufa kwa wanakonspiresi wa bongo ni kuwa ameuawa.
 
umemsahau Method Mwanjali
 
Kwa Afrika sio ajabu sana, mipaka na nchi wameleta wazungu na enforcement zimekuja hasa baada ya uhuru.
 
Hizi tuhuma katika siasa zimekuwepo sana,wakishindwa sana basi hata mke wa raisi wanaweza sema si raia wa nchi ambayo mume wake anaiongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…