Rais Satta wa Zambia aliuawa kwa kugundulika Mtanzania. Emanuel Mwamba akazuiwa kwa same reason

Rais Satta wa Zambia aliuawa kwa kugundulika Mtanzania. Emanuel Mwamba akazuiwa kwa same reason

Hahah duuh mjomba amejipanga na bundle la uhakika,maana baada ya kila dakiia 5 kuna ka uzi kapyaaaaa

Bahati mbaya siku hizi nasikia uvivu kubishana tu mkuu hahah.

Hapo hio ya ku-kopromaiziwa niliposomaga uzi wake nikauchekiiiiii afu nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ...........
Hahahaha, hata huu wa Satta kwani ni mpya? OK nami kubishanaga siwezi, nasoma na kuweka like basi
 
Haya mambo haya yapo tu kila mahali. US walisema Obama siyo Mwamerika ni mhamiaji . Zambia kabla ya huyo Chiluba aliwahi kusema Kaunda si raia bali ni Mmalawi. Kwetu yanasemwa mengi . Zanzibar aliyeongoza mapinduzi wala siyo Mzanzibari !!.

Wenzetu wanaangalia kipaji utakachoifaidisha nchi na si asili. Africa tunakomaa na asili kipaji baadaye [emoji12][emoji2][emoji23][emoji1787]
Ndio sifa yetu waafrika. Kubaguana. Especially tukiona mwenzetu amepiga hatua za maendeleo. Tunatumia nguvu kubwa kujidanganya nafsi, kama itakuwa rahisi kufikia alipofikia.
Angalia kinachotokea South Africa every after a while
 
Tuache conspiresi za kijinga. Kila mtu anayekufa kwa wanakonspiresi wa bongo ni kuwa ameuawa.
 
baadhi ya ‘wazambia’ asili yao ni Tz hususan mkoa wa mbeya, nakumbuka baada ya ile ajali ya ndege iliyo wauwa wacheza soka wa timu ya taifa ya zambia, wachezaji3 miongoni mwao walimkuja kuzikwa mbeya kwa ‘wazazi’ Wao, zambia walienda kuganga njaa!
umemsahau Method Mwanjali
 
Kwa Afrika sio ajabu sana, mipaka na nchi wameleta wazungu na enforcement zimekuja hasa baada ya uhuru.
 
Hizi tuhuma katika siasa zimekuwepo sana,wakishindwa sana basi hata mke wa raisi wanaweza sema si raia wa nchi ambayo mume wake anaiongoza.
 
Back
Top Bottom