bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,402
- 1,291
Ukisoma coment za baadhi ya Watanzania ndipo utajua wengi hawana ufahamu ni vichwa tu havina kitu ndani serikali ya Tanzania kwenye bajeti ya mwaka mzima inatoa 40% nchi wahisani 60% mnavyonoa midomo mtapata wapi pesa ya kuendesha nchi , Zimbabwe walijaribu kuwagusa wazungu mpaka leo nchi haijakaa sawa kiuchumi , hawa wazungu hawagusiki , nchi ya Kenya hairuhusu ushoga na hata Kikwete kwenye utawala wake hajawahi kuruhusu ushoga lakini nchi wahisani hawajawahi kusitisha misaada , endeleeni kuchekelea wakati nchi yenu hata dawa ya minyoo mnategemea wazungu