Rais si mkweli, Mawaziri si wakweli, Mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi na polisi wake SI WAKWELI.

Paskali katika ubora wako.
 
Hii post ni kma vile imeandaliwa kimkakati na imecopiwa na kubandikwa mojja kw moja. All in all kila ki2 ni ukweli lakin kma vile ukweli umezidi mpaka namhofia mtoa posy.
 
Naomba niseme ukweli huu. Rais Magufuli ni muongo, kwanza anadanganya kuhusu Ukuaji wa uchumi,
Data za kukua kwa uchumi zinatolewa na Word Bank, BOT na TBS, ni numbers, and numbers don't lie. Kwenye ukuaji wa uchumi ni kweli uchumi wetu unakuwa kwa kasi ya asilimia 7%, sasa ukuaji huo unamfaidia nani hayo ni mengine.
pili anajua kabisa kuwa wapinzani wanatekwa na wanapelekwa wapi
.
hii ni issue ya uchunguzi wa kijinai ya kipolisi, kama unauhakika unajua kuwa anajua, na sio assumption tuu, karipoti kunako husika, ukiona hakuna hatua ndipo njoo ututhibitishie tuchagize apelekwe the Hague.
Tatu anajua Tundu Lissu alipigwa risasi na akina nani na anajua fika ni nani ali-order huo udhalimu
.
Hili ni issue ya jinai kila mtu anajua waliohusika ni watu wasiojulikana na jeshi letu la police linaendelea na uchunguzi. Sasa wewe mwenzetu kama unauhakika na haya kuwa unawajua hadi walio order, na ukitafutwa utathibisha, then lisaidie jeshi letu la polisi karipoti unachojua, kwenye hili la Lisu nilishauri.
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Kuhusu wasiojulikana hawa ni kina nani, tuli wa classify into two groups la wasiojulikana na 'wasiojulikana'

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Ila pia kufuatia Jeshi letu la polisi kutotoa mrejesho wowote, tukashauri humu kama serikali imeshindwa kuwabaini, iseme isaidiwe ila pia as a sign of good citizenship, una duty of care na obligation ya kuisaidia nchi yako jambo lolote ambalo unaweza kusaidia, hivyo nilitoa wito huu

WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

"]Nne
anajua anadanganya kuhusu hizo projects anazofanya kuwa tunatumia pesa zetu wakati siyo kweli.
Nikisema siyo mkweli nina maana kwa kiingereza "he is lying" Nitabadilisha heading.
Sikumbuki kama alisema ni fedha za ndani 100 %. Hata kama tunachangia asilimia moja then bado yuko right sio uongo.
P
 
Paskali katika ubora wako.

Ndugu Mayalla, umenena ya kweli, Rais Dr Magufuli ingelikuwa( it would have been a blessing) ni baraka kwa Tanzania kama angalikuwa ndiye aliyeshika madaraka awamu ya tatu kwani ni mkweli na amehuzunishwa sana kwa viwanda na mashirika ya umma kuzikwa na awamu ya tatu na nne!msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Viongozi walikuwa wamelewa madaraka wakawa wanakula bila hata kunawa mikono. Mfano wa ulevi wa madaraka ya kupindukia ni ujenzi wa ofisi za spika kujengwa na awamu ya nne kule Tabora!!!what a shame!!!!sasa je Spika Ndugai anaweze kujenga ofisi ya spika kule Kongwa/Mpwapwa??? Rais Magufuli angalimtafuna kwa meno! it can never ever happen under President Dr Magufuli!!! Huu ndiyo ukweli, Dr Magufuli yupo kwenye nyayo za Mwl Nyerere. Viongozi wanaficha pesa nchi za nje na kuziita vijisenti! Viongozi wanauza nchi na kuwaita wanaowatuhumu ‘TUMBILI’ unbelievable. Mwacheni Rais anyooshe taifa, kurudisha nidhamu makazini, kuheshimu madaraka. Kudos President Dr Magufuli - makosa madogomadogo yasikupe preshia, you are not an Angel.
 
Kiyawi wakati nasoma comments zako nipo naangalia BBC kuhusu Congo na jinsi Mobutu alivyojenga uwanja wa ndege kwao kijijini na mambo kibao. Je Spika ana tofauti na ule uwanja wa kimataifa Chato? Kuna Rubondo game reserve ambapo mimi nimepita zaidi ya mara hara hamsini na Auric. Kila tukipita tunashusha abiria mmoja au wawili na kwa siku hawazidi wanne. Does it pay????

Abiria wangapi wanaoenda Bukoba wanakosa ticket kila siku kwenye ndege zote zinazoenda kule? Kuna ndege inaenda bila viti kwenda Bukoba? Labda Auric sababu ni chartered plane.

Kuna mahali pa kuinvest. Nchi ingetaka kujenga uchumi wangejenga uwanja wa ndege Karagwe sehemu ambayo watu wanaokwenda nchi jirani wangeweza kushuka na kuchukua usafiri mwingine kutokea pale. Chato haizai chochote.
 
Hao viongozi wanatokea kwenye vyama vya siasa ambavyo vinashiriki uchaguzi na kikishinda kinaunda serikali. Kamsome Niccolle Machiavelli ndio utanielewa
 
Natamani kusikia ukweli kutoka kwako nithibitishe kwamba huu ni uongo.
 
Kumshabikia rais bila ya facts za msingi ni ujinga mkubwa."maendeleo hayana chama" je, huo ni ukweli??je,kiongozi wa kambi rasmi bungeni alishawahi kuitwa hata angalau kuzungumzia mstakabali wa nchi?? Acha unafiki wew 'pascal mayalla'.
 
Poor you! Naona unajaribu kuhamisha mjadala huyo Lowassa na Chadema yake je ndio viongozi wa hii serikali? Je unaweza kutuambia wanahusika vipi na kudorora kwa biashara ya nje (export)?, hali ngumu ya kiuchumi, ukosefu wa ajira kwa vijana, kusuasua kwa ununuzi wa korosho huko kusini, mvutano wa kidiplomasia na nchi wahisani? Acha propaganda za kitoto jikite kwenye Mada.
 
Tanzania itajengwa na wenye moyo bora. Wewe ni moja ya magugu ya watanzania. Wakati tutakapo kamilisha miradi mikubwa hii ndipo tutakapoelewana Mtakuwa mkijisifia kwa miradi hii. Matatizo ya uchumi ni ya mpito tu kwa mtu aliyekomaa hawezi kukaa chini akilia kisa umekunywa uji usio na sukari
 
Duh, ila sijui ukweli wako unapima kwa njia gani!! Kwa kifupi hakuna Rais muongo, mlaghai na mwenye husda kama huyo wa kisiwani.
 
Naona unataka kuiminya Haki yangu ya kutoa maoni kwa kunichagulia niseme nini. Ukisoma kitu unganisha dots siyo unakibeba kizima zima kama udaku..Poor you!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…