Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

Tatizo linaanza wazee wazima wanapoita mama mama kama watoto wadogo wanaonyonya.
 
Nadhani huna akili timamu zaidi ya kumiliki simu janja huku ukiwa ni mburula.
Unafanya kazi nzito ya kujibizana na wachangiaji wa mada zako kila unapoweka wazo jipya hapa JF. Mtu mstaarabu anayejielewa hawezi kupoteza muda kujibishana na watu hovyo tu . Jiulize tatizo lako haswa ni lipi.
 
Kunywa SUMU YA PANYA

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa nchi nae kuzungumzia sana jinsia yake ni kutojiamini....

Apige kazi tu
 
Kama nimemwelewa ametumia lugha ya picha kwamba akina mama wapo humble na wanakubali kuwa jirani na watoto wao kwa kila jinsi ili mradi kufikia malengo
 
Kuna hata majini ya kike
 
Hii kumuita Rais Mama kila mahali ndio imetufikisha hapa.

Tumuiteni Rais ili akumbuke wajibu wake ila tukiendelea kumuita mama naye ataendelea kutambua kuwa ni Mama na sio Rais.
 
Kama yeye ni mama alitakiwa awe mfano,afanye makubwa kupita watangulizi wake.....
 
Ndiyo sababu Ndugai alimpiga spana kwa kulialia kuwa yeye ni mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…