Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Pumba ni huu uzi wako. Mzee wa kupingapinga.Huna uelewa wowote zaidi ya kug'agania kupost pumba JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba ni huu uzi wako. Mzee wa kupingapinga.Huna uelewa wowote zaidi ya kug'agania kupost pumba JF
Unafanya kazi nzito ya kujibizana na wachangiaji wa mada zako kila unapoweka wazo jipya hapa JF. Mtu mstaarabu anayejielewa hawezi kupoteza muda kujibishana na watu hovyo tu . Jiulize tatizo lako haswa ni lipi.Nadhani huna akili timamu zaidi ya kumiliki simu janja huku ukiwa ni mburula.
Unajisema wewe mwenyewe, pole sana.Huna akili na uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo.
Nini maana ya “Aluta Continua” katika siasa za leo?Kupambana kiaje?
Kunywa SUMU YA PANYANimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Lakini kama rais akiwa na jinsia ya kike alafu akaonekana kuna fyongo anafanya ndio watu wasihoji kisa tu mama?
Yaani kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi na uzembe unafanyika tusihoji na kukosoa kisa tu ni rais mwanamke ambaye kwetu ni maka mama?
Hii kauli haiko sawa. Raisa simamia katiba na ondoa viongozi wasiofaa bila upendeleo. Kukosolewa sio mapambano.
Hii kauli sio.
View attachment 2223614
It is an actual word decribing an actual psychological process.Nimelipenda hilo neno,"infantilization"!
)Nyerere has a hagiography problem.Basi na Nyerere tusimuite baba wa taifa
Nilimaliza chuo kikuu Ukraine mwaka 2003 ukiwa kwenye shamba la wazazi wako ukiwasaidia kupalilia viazi.Wewe pimbi sidhani kama ulishaliza hata kidato kimoja. Unalazimisha kupost upuuzi tu jukwaani.
Kwani na wewe ni miongoni mwa wale wenye akili?.Ili aonekane anaweza unataka akubebe mgongoni?Acha nongwa.Ukiendelea hivyo utakuwa kachawi.
Kama nimemwelewa ametumia lugha ya picha kwamba akina mama wapo humble na wanakubali kuwa jirani na watoto wao kwa kila jinsi ili mradi kufikia malengoNimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Lakini kama rais akiwa na jinsia ya kike alafu akaonekana kuna fyongo anafanya ndio watu wasihoji kisa tu mama?
Yaani kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi na uzembe unafanyika tusihoji na kukosoa kisa tu ni rais mwanamke ambaye kwetu ni maka mama?
Hii kauli haiko sawa. Raisa simamia katiba na ondoa viongozi wasiofaa bila upendeleo. Kukosolewa sio mapambano.
Hii kauli sio.
View attachment 2223614
Kuna hata majini ya kikeNimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Lakini kama rais akiwa na jinsia ya kike alafu akaonekana kuna fyongo anafanya ndio watu wasihoji kisa tu mama?
Yaani kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi na uzembe unafanyika tusihoji na kukosoa kisa tu ni rais mwanamke ambaye kwetu ni maka mama?
Hii kauli haiko sawa. Raisa simamia katiba na ondoa viongozi wasiofaa bila upendeleo. Kukosolewa sio mapambano.
Hii kauli sio.
View attachment 2223614
Mweupe ni wewe na uzi wako.Degree ya mavi. Uwe na degree uwe mweupe hivi?
Ni wale wanaotukana na kukejeli jinsia, wakisahau hata ile substance yenyewe.Nini maana ya “Aluta Continua” katika siasa za leo?
Ukiweza jibu hilo... hapana shaka utakuwa umefahamu maana nzima ya bandiko lako..
Ndiyo sababu Ndugai alimpiga spana kwa kulialia kuwa yeye ni mwanamke!Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Lakini kama rais akiwa na jinsia ya kike alafu akaonekana kuna fyongo anafanya ndio watu wasihoji kisa tu mama?
Yaani kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi na uzembe unafanyika tusihoji na kukosoa kisa tu ni rais mwanamke ambaye kwetu ni maka mama?
Hii kauli haiko sawa. Raisa simamia katiba na ondoa viongozi wasiofaa bila upendeleo. Kukosolewa sio mapambano.
Hii kauli sio.
View attachment 2223614
Ngoja nigoogle!Kwani na wewe ni miongoni mwa wale wenye akili?.