Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

Basi tu, ni kwakuwa imebidi iwe hivyo lakini kwa mwanamke siyo vizuri sana kushika nafasi ya juu kama ya urais, mwanamke anataka ahurumiwe hata mahali ambapo hapasitahili huruma kwa kuwa ni mama.
 
Yeye kalalamika kwamba Urais umemshinda?Mbona mna mawenge sana?
 
Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.

Lakini kama rais akiwa na jinsia ya kike alafu akaonekana kuna fyongo anafanya ndio watu wasihoji kisa tu mama?

Yaani kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi na uzembe unafanyika tusihoji na kukosoa kisa tu ni rais mwanamke ambaye kwetu ni maka mama?

Hii kauli haiko sawa. Raisa simamia katiba na ondoa viongozi wasiofaa bila upendeleo. Kukosolewa sio mapambano.

Hii kauli sio.
View attachment 2223614
Mpaka sasa hivi kiwango ch demokrasia kilichoonyeshwa na serikali ya SSH ni kikubwa sana, huwezi kulinganisha na awamu ya tano iliyojaa ujuaji.

Hayati JPM aliwanyamazisha hao wanaharakati walioongea na SSH hiyo jana, hiyo peke yake ni tofauti kubwa sana ya falsafa.

Anaamini katika demokrasia na nguvu ya hoja tofauti na bosi wake wa zamani aliyekataa kabisa hizo NGOs zisifanye kazi nchini.
 
cha ajabu utakuja kumwagiwa mvua ya matusi.
 
Ili aonekane anaweza unataka akubebe mgongoni?Acha nongwa.Ukiendelea hivyo utakuwa kachawi.
Akili zetu ni fupi sana watanzania. Kushindwa kwake ni kwa vigezo vipi vya kitaalam?. Kila mtu anajiona anajua kila kitu kumbe anachokifahamau ni kidogo sana kulinganisha na kile anachotakiwa kukijua.
 
Hiyo si sawa kwamba mama hakosolewi, mbona mie nilipokuwa home miaka hiyo nilienda tofauti na bi-mkubwa mara kibao tu hadi kufikia kunyimana ugali; kuna mambo bi mkubwa naye alikuwa anakosea na niliongoza mapambano na wenzangu kuyasimamia hadi yakakaa sawa.

Bi mkubwa akikosea hata ngazi ya familia lazima akosolewe, sema tu kuna ka staha ambako hutumika wakati wa kupambana na baada ya hapo mambo yanakwenda sawa.

Mama tutakukosoa tu endapo hutafanya mambo yaende kama Sheria za nchi na katiba inavyotamka; sema tu kale ka staha tutakupatia sababu ni mama.
 
Sikupingi
 
Ni vema mkasikiliza hotuba yake yote ya jana na sio kuja na vipande vilivyo editiwa kwa manufaa ya kundi fulani au mtu fulani..

Kimsingi anapenda serikali yake ikosolewe na sio kupambana nayo! Nchi ilishapambana wakatii wa kumtoa mkoloni..
 
Back
Top Bottom