Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah unajua unaweza kupata hypertension kisa watu usiowajua.Kapanic!Noma kinomanoma!
Yeye kalalamika kwamba Urais umemshinda?Mbona mna mawenge sana?Basi tu, ni kwakuwa imebidi iwe hivyo lakini kwa mwanamke siyo vizuri sana kushika nafasi ya juu kama ya urais, mwanamke anataka ahurumiwe hata mahali ambapo hapasitahili huruma kwa kuwa ni mama.
Mpaka sasa hivi kiwango ch demokrasia kilichoonyeshwa na serikali ya SSH ni kikubwa sana, huwezi kulinganisha na awamu ya tano iliyojaa ujuaji.Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Lakini kama rais akiwa na jinsia ya kike alafu akaonekana kuna fyongo anafanya ndio watu wasihoji kisa tu mama?
Yaani kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi na uzembe unafanyika tusihoji na kukosoa kisa tu ni rais mwanamke ambaye kwetu ni maka mama?
Hii kauli haiko sawa. Raisa simamia katiba na ondoa viongozi wasiofaa bila upendeleo. Kukosolewa sio mapambano.
Hii kauli sio.
View attachment 2223614
cha ajabu utakuja kumwagiwa mvua ya matusi.Mpaka sasa hivi kiwango ch demokrasia kilichoonyeshwa na serikali ya SSH ni kikubwa sana, huwezi kulinganisha na awamu ya tano iliyojaa ujuaji.
Hayati JPM aliwanyamazisha hao wanaharakati walioongea na SSH hiyo jana, hiyo peke yake ni tofauti kubwa sana ya falsafa.
Anaamini katika demokrasia na nguvu ya hoja tofauti na bosi wake wa zamani aliyekataa kabisa hizo NGOs zisifanye kazi nchini.
Wenye akili wameshang'amua kuwa kashindwa.Yeye kalalamika kwamba Urais umemshinda?Mbona mna mawenge sana?
Ili aonekane anaweza unataka akubebe mgongoni?Acha nongwa.Ukiendelea hivyo utakuwa kachawi.Wenye akili wameshang'amua kuwa kashindwa.
Akili zetu ni fupi sana watanzania. Kushindwa kwake ni kwa vigezo vipi vya kitaalam?. Kila mtu anajiona anajua kila kitu kumbe anachokifahamau ni kidogo sana kulinganisha na kile anachotakiwa kukijua.Ili aonekane anaweza unataka akubebe mgongoni?Acha nongwa.Ukiendelea hivyo utakuwa kachawi.
Nimelipenda hilo neno,"infantilization"!Mimi nilikataa kumuita Mama.
This is the infantilization of Tanzanians.
Mnaandika ujinga tuu na mwenzako hapa!H
Hivi na weye ni mwerevu?Nchi inakwama hii.Weye ni mwerevu? Hahahahaaa
Basi na Nyerere tusimuite baba wa taifaMimi nilikataa kumuita Mama.
This is the infantilization of Tanzanians.
SikupingiHiyo si sawa kwamba mama hakosolewi, mbona mie nilipokuwa home miaka hiyo nilienda tofauti na bi-mkubwa mara kibao tu hadi kufikia kunyimana ugali; kuna mambo bi mkubwa naye alikuwa anakosea na niliongoza mapambano na wenzangu kuyasimamia hadi yakakaa sawa.
Bi mkubwa akikosea hata ngazi ya familia lazima akosolewe, sema tu kuna ka staha ambako hutumika wakati wa kupambana na baada ya hapo mambo yanakwenda sawa.
Mama tutakukosoa tu endapo hutafanya mambo yaende kama Sheria za nchi na katiba inavyotamka; sema tu kale ka staha tutakupatia sababu ni mama.
Ujumbe umekufikia, haya mapovu ni kielelezo chenyewe.Ndio maana huwa wanasema hapa jukwaani huna akili na uwezo wako wa kudadavua mambo ni mdogo. Habari ya JPM na awamu ya tano imeingia vipi hapa?
Huna akili na elimu yako ni duni sana.
Na weye unamuonea wivu SSH?Mnaandika ujinga tuu na mwenzako hapa!
Nchi hii INA Rais na sio mama Rais
Kwa nini hadi umri huo haujui Kiswahili fasaha?Una udumavu weye!Huna uelewa wowote zaidi ya kug'agania kupost pumba JF