Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

Mkuu umewahi kufikiwa na mgeni toka Bush kisha akashika rimoti ya TV? Ukipata uzoefu huo ndio utamuelewa Paulo Makonda RC wa Dar.
Jamaa ni bonge la mshamba na ndio maana kwake anawashangaa na kuwaa admire wacheza bongo movie kama mtu pori yeyote mwingine.
 
Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.

Siyo ushamba, hiyo Sheria ipo TZ na tuliirithi ktk kwa Muzungu ina maana hata Ulaya iko/ilikuwepo, na Makonda siyo wa kwanza kuitumia hata enzi za Makamba au Mrema ilitumika pia.

Sasa kama ushamba ni kufwata Sheria za nchi basi useme Watanzania wote na Muzungu pia ni washamba na siyo mtu mmoja anayetekeleza.
 
Pole
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo watanzania maisha yenu mmeyafanya motandaoni sana mnapenda kulalamikia mitandaoni..jambo kama hili linalowakera wannchi kwa nchi za wenzetu wangeshachukua hatua physically sasa watanzania ni waoga sana mnashindwa hata kuunda umoja wa wanywaji mdai hiyo haki yenu?
wanao athiriwa na amri za sina hii si wanywaji tu, ni wote. Ni bahati mbaya tumo ktk kipindi cha kuongozwa na matamko, si sheria. Sheria ya vileo ipo, inavunjwa, mwanasheria mkuu kimya. Kodi ya pombe wanaitaka, uzaaji pombe wanakataza.
 
Thus why nasema tunatakiwa tuchukue action practically na sio kuja mitandaoni kulialia
 
Mkuu bar siku hizi wamebuni zile grass hazioneshi so wanakumiminia humo unaendelea kulipa kodi kama kawaida unajifanya unakunywa juisi nimeona bar nyingi sana
Huku watu wanakunywa 24 hrs hakuna kilaza anaewazuia
 
Huku watu wanakunywa 24 hrs hakuna kilaza anaewazuia
Morogoro pesa yako tu yaani muda wowote nilifanikiwa kukaa sehem moja panaitwa dumilila aloo yani mpaka rahaa unakunywa wakat wowote yani ni pesa yako tu Hakuna kusumbuana kabisa
 
Huku kwetu unakula bata mpaka uishiwe!

Hakuna cha saa kumi wala nini!!
 
Mbona tunakunywa tu hapa posta kwenye minazi mirefu kuanzia asubuhi
 
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
Tunaomia ni sisi ambao muda wetu wakufanya kazi ni usiku asubuhi tunahitaji kuzimua kabla ya kupumzika mbili au tatu hivi ili nasi tuchangie upatikanaji wa kodi
 
Back
Top Bottom