Hawajui wengine wanakuwa ni wastaafuKuna watu wapumbavu sana hii nchi.. Wanaamini kila mtu anapaswa kwenda ofisini
Uniwie radhi nimereply with jokes...Unatukosea sana wakazi wa Tabata..itoshe tu kusema kwa sasa hivi hapa dar Tanzania kwa ujumla Hakuna sehemu yenyewe starehe nae nyingi zinazojaa kama tabata
Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.
Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.
Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
wanao athiriwa na amri za sina hii si wanywaji tu, ni wote. Ni bahati mbaya tumo ktk kipindi cha kuongozwa na matamko, si sheria. Sheria ya vileo ipo, inavunjwa, mwanasheria mkuu kimya. Kodi ya pombe wanaitaka, uzaaji pombe wanakataza.Tatizo watanzania maisha yenu mmeyafanya motandaoni sana mnapenda kulalamikia mitandaoni..jambo kama hili linalowakera wannchi kwa nchi za wenzetu wangeshachukua hatua physically sasa watanzania ni waoga sana mnashindwa hata kuunda umoja wa wanywaji mdai hiyo haki yenu?
Thus why nasema tunatakiwa tuchukue action practically na sio kuja mitandaoni kulialiawanao athiriwa na amri za sina hii si wanywaji tu, ni wote. Ni bahati mbaya tumo ktk kipindi cha kuongozwa na matamko, si sheria. Sheria ya vileo ipo, inavunjwa, mwanasheria mkuu kimya. Kodi ya pombe wanaitaka, uzaaji pombe wanakataza.
Huku watu wanakunywa 24 hrs hakuna kilaza anaewazuiaMkuu bar siku hizi wamebuni zile grass hazioneshi so wanakumiminia humo unaendelea kulipa kodi kama kawaida unajifanya unakunywa juisi nimeona bar nyingi sana
Morogoro pesa yako tu yaani muda wowote nilifanikiwa kukaa sehem moja panaitwa dumilila aloo yani mpaka rahaa unakunywa wakat wowote yani ni pesa yako tu Hakuna kusumbuana kabisaHuku watu wanakunywa 24 hrs hakuna kilaza anaewazuia
Tunaomia ni sisi ambao muda wetu wakufanya kazi ni usiku asubuhi tunahitaji kuzimua kabla ya kupumzika mbili au tatu hivi ili nasi tuchangie upatikanaji wa kodiNi mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.
Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.
Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?