POTOSHI Rais Traoré apelekewa ndege na escort ya ndege vita kumpeleka urusi

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.

Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu mwaminifu wa Rais Trao.

re
 
Tunachokijua
Ibrahim Traore alihudhuria sherehe ya kuweka mashada ya maua kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya ushindi wa Urusi dhidi ya Unazi, na kutoa heshima kwa jeshi la kisovieti, Mei 9 2025 na baadae kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladmir Putin.

Madai

Watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakizsambaza kipande cha video kinachoonesha ndege za kijeshi zikiwa angani wakidai kuwa zinamsindikiza Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore katika safari yake ya kuelekea Urusi.

Uhalisia wa madai hayo

JamiiCheck imefuatilia madai hayo na kubaini kuwa yanapotosha uhalisia. Ufuatiliaji kwa kutumia google reverse image search tumebaini kuwa kipande hiko cha video kimekuwepo mtandaoni kabla ya safari ya Traore nchini Urusi.

Watumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii wamekuwa wakiitumia video hiyo katika nyakati tofauti tofauti kabla ya kuhusianishwa na tukio la Traore. Mathalani mtumiaji mmoja wa TikTok aliitumia video hiyo mwezi wa nne akieleza kuwa ndege hizo na za kikosi cha wanaanga wa pakistan. Tazama hapa
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu mwaminifu wa Rais Trao
View attachment 3328683
re
Nafikiri hata Mzee Trump anahitaji ulinzi zaidi kwani anao maadui hata kutoka miongoni mwa ombaomba waliotumia misaada kutoka taifa lake vibaya kwa kuwauwa na kuwakandamiza wananchi wao wenyewe.
 
Nchi amemuachia nani? Kusafiri kwake si kunaweza kupelekea wabaya wake kujimilikisha mamlaka na kumpindua?
 
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu mwaminifu wa Rais Trao
View attachment 3328683
re
Nina mashaka na hizo aina ya ndege kama ni za Mrusi.. Miundo ya Sukhoi inajulikana, miundo ya Mig inajulika pia labda hizo ni outdated mig 21.
 
Hilo nalo ni la kujisifia? Kibaraka tu huyo hana lolote na mbwembwe zote zile za nchi yake kujitegemea kumbe hewa tu!
 
Punguza hasira mkuu.

Ipo siku hata nchi yako Tanzania itapata tena rais mzalendo kama Traoure.

Kwasasa ni zamu ya BurkinaFaso.

Rest easy JPM
 
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu mwaminifu wa Rais Trao
View attachment 3328683
re
Hii clip ni ya kitambo😃😃
 
Majasusi wa Russia kitambo wapo Ivory Coast

Unaweza kunifafanulia maana ya kibaraka?
Kwa niaba chawa na kibaraka ni wale wale,huo ni mtazamo wangu lakini
 
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu mwaminifu wa Rais Trao
View attachment 3328683
re
Huyo sidhani kama atarudi. Ataishia hukohuko. Anamwachia nyani shamba la mahindi kweli?
 
Back
Top Bottom