POTOSHI Rais Traoré apelekewa ndege na escort ya ndege vita kumpeleka urusi

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Hapo hakuna ndege hata moja ya jeshi la sasa la anga la urusi. Hapo kuna mig 21 ndegevita ya mwaka wa 1954
 
Nchi ipo mikono salama fsb na wenzao wapo wametanda kila kona Ikulu na njia yote ya ikulu ya Burkina Makao Makuu ya Jeshi
Nchi amemuachia nani? Kusafiri kwake si kunaweza kupelekea wabaya wake kujimilikisha mamlaka na kumwambia
 
Sasa anaachana na wafaransa halafu anachukuliwa na wa Russia sasa hapo anakua amefanya nini. Waafrika akili ndogo sana kama piriton tu
 
Sasa anaachana na wafaransa halafu anachukuliwa na wa Russia sasa hapo anakua amefanya nini. Waafrika akili ndogo sana kama piriton tu
Ingekuwa wewe ungefanyaje?
 

Rais Traoure anapaswa kulindwa kwa gharama yoyote ile.​

 

Attachments

  • WhatsApp Image 2025-05-10 at 10.49.23 AM.jpeg
    83.3 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…