Rais Trump agoma kuvaa barakoa hadharani

Rais Trump agoma kuvaa barakoa hadharani

JPM anatuhimiza tusihofie ila corona bado ipo tufate maelekezo wataalam afya. Ukweli ni kwamba corona ipo tunaishi nayo kwa kinga za mwili, natamani mkuu atufafanulie ukweli huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri sana
Boris wa UK alijifana mbabe akaishia ICU. Magu havai kwa vile Hana msongamano kama sie huku chini. Tunarundikana tu. Tusimuige tufuate ushauri WA watalaam wanasema afya

In God we Trust
 
Amemuiga vipi wakati toka mwanzo trump mi sijawahi kumuona amevaa barakoa
 
Hujajibu swali langu! Nimekuuliza kwa kuwa Trump nae amegoma kuvaa mask basi Magufuli yupo sahihi kukataa kuvaa mask na kwa hiyo hawezi kuambukizwa Corona?
Kwani ukivaaa mask ndio hupati Corona virus? Unaweza kuvaa na ukaipata kwa kutumia mikono yako. Acha kukariri.
 
Kwani ukivaaa mask ndio hupati Corona virus? Unaweza kuvaa na ukaipata kwa kutumia mikono yako. Acha kukariri.
Unajua kusoma? Wapi nimezungumzia mambo ya kupata Corona? Mimi nazungumzia kuambukizwa na siyo kupata! Unaelewa tofauti kati ya kuambukizwa Corona na kupata Corona? Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wameambukizwa Corona ila hawajapata Corona?
 
YEHODAYA
Wengine wakiwa wamevaa hana haja ya kivaa ndiyo inavyoshauliwa, hapo sioni kama hajavaa barakoa sababu wanaomzunguka wote wamevaa
 
Uzuri wa virusi havijuwagi kutofautisha huyu ni nani na yule ni yupi...
Alafu hao si wa kuwaiga iga... Mmoja anatumia cha-madagascar mwingine anatupia hydroxy...
Umefanya hesabu ni kiasi gani cha watu maarufu na viongozi waliyopatwa na corona?
 
Hivi kwanini mnatakaga tuige upumbavu, mazuri hamtakagi na mnasemaga hatuwezi kujilinganisha na marekani
 
Unajua kusoma? Wapi nimezungumzia mambo ya kupata Corona? Mimi nazungumzia kuambukizwa na siyo kupata! Unaelewa tofauti kati ya kuambukizwa Corona na kupata Corona? Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wameambukizwa Corona ila hawajapata Corona?
Mh... Nasikia mnakula mbege mixer na K vant. Ngoja nikae kimya.
 
Mh... Nasikia mnakula mbege mixer na K vant. Ngoja nikae kimya.
Labda ngoja nikusaidie ila kama unajua kuwa wewe ni kilaza usije ukaquote tena comment yangu! Ni hivi, unapoambiwa kuwa mtu ana ukimwi maana yake ana yale magonjwa yanayotokana na HIV kama vile kuharisha, kukohoa, homa, mafua, vipele kwenye ngozi e.t.c. Kama yote hayo hana huyo mtu hajapata Ukimwi. Maana yake ni kwamba kuna watu wengi sana wameambukizwa HIV ila hawana ukimwi
 
Wamarekanni ndio wamepitisha hadi sheria ya kuvaa barakoa raisi Trump ndie aliisaini hiyo Excutive Order na amekuwa wa kwanza kuivunja hataki kuvaa barakoa hadharani akImuiga Raisi Magufuli
Kila kitu rais magufuli anaigwa. Mbona rais wa south afrika alikuwa havai kwa muda mrefu.
+ trump si mfano bora kabisa.
Ni rais ambae yeye mwenyewe anapingana na mamlaka za nchi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maudhui ya habari yako ni yapi? Unamaanisha kwa kuwa Trump nae amegoma kuvaa mask basi Magufuli yupo sahihi kukataa kuvaa mask na kwa hiyo hawezi kuambukizwa Corona?
Nadhani maudhui ya habari yake anataka tumuite Magufuli ni Beberu kama Trump.
 
Kuna siku jamaa akaniambia Mr. Bin kamwiga Joti namna ya uchekeshaji.....nikabakia hoi.
 
Back
Top Bottom