Marekani wa rais mjinga lakini watu wake wana akili.
Ni vizuri kutunza afya yako usimtengemee Mwanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boris wa UK alijifana mbabe akaishia ICU. Magu havai kwa vile Hana msongamano kama sie huku chini. Tunarundikana tu. Tusimuige tufuate ushauri WA watalaam wanasema afya
Kwani ukivaaa mask ndio hupati Corona virus? Unaweza kuvaa na ukaipata kwa kutumia mikono yako. Acha kukariri.Hujajibu swali langu! Nimekuuliza kwa kuwa Trump nae amegoma kuvaa mask basi Magufuli yupo sahihi kukataa kuvaa mask na kwa hiyo hawezi kuambukizwa Corona?
Hahahaa asante eti Trump anamuiga Magufuli heheKwani kila asiyevaa barakoa anamuiga Magufuli? Mimi nashangaaa sana kiwango cha kujipendeza mlichofikia, hata akiwaomba chochote mnaweza kumpa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuaje watu wenye akili wakamchagua mjinga awaongoze?Marekani wa rais mjinga lakini watu wake wana akili.
Ni vizuri kutunza afya yako usimtengemee Mwanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kusoma? Wapi nimezungumzia mambo ya kupata Corona? Mimi nazungumzia kuambukizwa na siyo kupata! Unaelewa tofauti kati ya kuambukizwa Corona na kupata Corona? Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wameambukizwa Corona ila hawajapata Corona?Kwani ukivaaa mask ndio hupati Corona virus? Unaweza kuvaa na ukaipata kwa kutumia mikono yako. Acha kukariri.
Wabongo kunyonyana uchi ni salama kuliko kuvaa barakoa.Kuvaa mask ni kati ya ujinga mwingine ambao tutakuja kujua ukweli wake baadaye. Trump na Magufuli hawajawahi kuvaa Barakoa, ni hatari kwa afya yako.
Umefanya hesabu ni kiasi gani cha watu maarufu na viongozi waliyopatwa na corona?Uzuri wa virusi havijuwagi kutofautisha huyu ni nani na yule ni yupi...
Alafu hao si wa kuwaiga iga... Mmoja anatumia cha-madagascar mwingine anatupia hydroxy...
Mh... Nasikia mnakula mbege mixer na K vant. Ngoja nikae kimya.Unajua kusoma? Wapi nimezungumzia mambo ya kupata Corona? Mimi nazungumzia kuambukizwa na siyo kupata! Unaelewa tofauti kati ya kuambukizwa Corona na kupata Corona? Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wameambukizwa Corona ila hawajapata Corona?
Labda ngoja nikusaidie ila kama unajua kuwa wewe ni kilaza usije ukaquote tena comment yangu! Ni hivi, unapoambiwa kuwa mtu ana ukimwi maana yake ana yale magonjwa yanayotokana na HIV kama vile kuharisha, kukohoa, homa, mafua, vipele kwenye ngozi e.t.c. Kama yote hayo hana huyo mtu hajapata Ukimwi. Maana yake ni kwamba kuna watu wengi sana wameambukizwa HIV ila hawana ukimwiMh... Nasikia mnakula mbege mixer na K vant. Ngoja nikae kimya.
Kila kitu rais magufuli anaigwa. Mbona rais wa south afrika alikuwa havai kwa muda mrefu.Wamarekanni ndio wamepitisha hadi sheria ya kuvaa barakoa raisi Trump ndie aliisaini hiyo Excutive Order na amekuwa wa kwanza kuivunja hataki kuvaa barakoa hadharani akImuiga Raisi Magufuli
Nadhani maudhui ya habari yake anataka tumuite Magufuli ni Beberu kama Trump.Maudhui ya habari yako ni yapi? Unamaanisha kwa kuwa Trump nae amegoma kuvaa mask basi Magufuli yupo sahihi kukataa kuvaa mask na kwa hiyo hawezi kuambukizwa Corona?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nadhani maudhui ya habari yake anataka tumuite Magufuli ni Beberu kama Trump.