akikujibu niite.Boris msongamano aliupata wapi
Teuzi za JPM zimefanikiwa kuunda genge la mazezeta TzKuvaa mask ni kati ya ujinga mwingine ambao tutakuja kujua ukweli wake baadaye. Trump na Magufuli hawajawahi kuvaa Barakoa, ni hatari kwa afya yako.
Ni kamaTrump anamjua JPM na Marais wa Africa, ndo maana Trump alipoingia madarakani aliwatukana Marais wa Africa kuwa wanawakandamiza na kuwanyonya WaAfrika wenzao.Nina uhakika huyo Trump hata hajui Kama Kuna mtu anaitwa magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukivaa helmet bado unaweza kufa kwa ajali ya pikipiki. Kwa hiyo tuache kuvaa helmet kwa sababu bado unaweza kufa kwa ajali.Kwani ukivaaa mask ndio hupati Corona virus? Unaweza kuvaa na ukaipata kwa kutumia mikono yako. Acha kukariri.
Nccr mageuzi?Hata ukivaa helmet bado unaweza kufa kwa ajali ya pikipiki. Kwa hiyo tuache kuvaa helmet kwa sababu bado unaweza kufa kwa ajali.
Mimi hata ukunishikia AK 47 hicho chama chako siji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho chama chako wewe kina uhusiano wa moja kwa moja na umbumbumbu, rejea tafiti za TWAWEZA.Nccr mageuzi?
Huo ni uamuzi wako na upo huru.Hicho chama chako wewe kina uhusiano wa moja kwa moja na umbumbumbu, rejea tafiti za TWAWEZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyewahi kuvaa mask kwa hao marais.Amemuiga vipi wakati toka mwanzo trump mi sijawahi kumuona amevaa barakoa