Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

Bibilia imesema amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu.
Ni kweli, mkuu. Lakini yatima na wajane tukiwaambia wajitegemee watatoboa? Na tunaambiwa dini iliyo safi ni kwenda kuwatazama hao na kuwasaidia katika dhiki yao. Tena Biblia inasema wapeni watu vitu... uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu alivyo navyo. Mkumbuke yule tajiri aliyelima, akavuna na kuandaa ghala ili apumzike ale anywe; aliambiwa 'mpumbavu wewe usiku huu wanaitaka roho yako ulivyojiwekea vitakuwa vya nani.?'

Taifa likibarikiwa, kutoa msaada kwa maskini ni jambo la kibiblia kabisa. Lakini kwakuwa ni siku za mwisho, upendo huo tayari umeanza kupoa. Watu watajipenda wenyewe.
 
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."

Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).

Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).

Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).

Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
1.Kama ndo matumizo ya biblia,watu mnaitumia hovyo sana, ndo maana watu hawataki ukristo

Yaani mungu gani ambaye anasapoti huo ujinga? Kwamba USA itoe misaada kwa UKRAINE ili apigwe mrusi? Kwamba mrusi hapendwi na huyo mungu?

2. Kwanini mungu asiwape msaada hao wa ukraine mpaka ategemee marekani
 
Usiseme watu hawataki, sema wewe hutaki.
Yaani mungu gani ambaye anasapoti huo ujinga? Kwamba USA itoe misaada kwa UKRAINE ili apigwe mrusi? Kwamba mrusi hapendwi na huyo mungu?
Mimi nimezungumzia misaada in general. Kwani Marekani imekuwa ikitoa misaada ya silaha tu
2. Kwanini mungu asiwape msaada hao wa ukraine mpaka ategemee marekani
Biblia inasema dini iliyo safi ni kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao. Mungu anapotujalia baraka tunatakiwa kwenda kuwasaidia maskini wenye uhitaji. Ukisubiri Mungu ndiye aende akawape msaada yatima, utasubiri sana, mkuu
 
Fika, Mombasa, Tanga na Zenji uone jinsi vijana wanavyoliwa na masheikh eti wanasingizia sunnah!
Sawa mkuu, Umejibu vyema!!

Je, Kulikua na maana gani Mungu kuwaangamiza watu wa Sodoma na Gomola bali akashindwa kuangamiza Mawazo kuhusiana na tabia hiyo?

Halafu anatabiri kwamba haya mambo yatakuja kutokea tena ikiwa anajua fika amewaumbia watu fikra hizo ovu?

Sio inapatana na akili kwamba hizi tabia ni sehemu ya mpango wake ?
 
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."

Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).

Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).

Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).

Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
WALOKOLE mmekuwa wapiga ramli kila kitu ni kuhisi tu halafu mkiulizwa we umejuaje unasema umeona katika ulimwengu wa roho(uongo mtupu).
Huo ulimwengu wa roho ni ninyi tu dini ya wabwekaji ndo mnauona dini nyingine hawauoni?
 
Ni kweli, mkuu. Lakini yatima na wajane tukiwaambia wajitegemee watatoboa? Na tunaambiwa dini iliyo safi ni kwenda kuwatazama hao na kuwasaidia katika dhiki yao. Tena Biblia inasema wapeni watu vitu... uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu alivyo navyo. Mkumbuke yule tajiri aliyelima, akavuna na kuandaa ghala ili apumzike ale anywe; aliambiwa 'mpumbavu wewe usiku huu wanaitaka roho yako ulivyojiwekea vitakuwa vya nani.?'

Taifa likibarikiwa, kutoa msaada kwa maskini ni jambo la kibiblia kabisa. Lakini kwakuwa ni siku za mwisho, upendo huo tayari umeanza kupoa. Watu watajipenda wenyewe.
Je, katika jamii yako umehudumia hao wajane kwa kiwango gani?
Mtume Paulo amesemaje kuhusu hao wajane, amesema wawe wajane ambao umri wao umesonga, na hana ndugu wa kumuangalia, lakini mjane wa miaka 30 au 40 huyo ana nguvu, je Huyo Trump kwake hana wajane na Yatima?

Lakini hiyo misaada iliyokuwa inatolewa hapo awali ilikuwa inafika kwa hao wahitaji au ilikuwa inaishia mikononi mwa wenye navyo?

Vipi kama ni adhabu ya Mungu, baada ya kuona hatufanyi yampasayo matokeo yake kila kitu tunamsifu Marekani badala ya Mungu?

Isaya 3:1
[1]Kwa maana, tazama, Bwana, BWANA wa majeshi, awaondolea Yerusalemu na Yuda egemeo na tegemeo; tegemeo lote la chakula na tegemeo lote la maji;
 
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."

Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).

Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).

Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).

Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Unatia watu hofu Baadaye watoe sakada ,haya yalikuwepo huko nyuma, sema trump hapepesi neno ni mtu wa dry ama makavu
 
Sadaka utanipaje wakati hujui hata niko wapi. Hofu utakuwa nayo kama maisha yako ni ya dhambi lakini kama unaishi kwa kumpendeza Mungu si ni furaha kujua kwamba ujio wa Yesu umekaribia.

Hayo yalikuwepo ndiyo lakini sasa yanaongezeka. Soma Mt 24 imeandikwa maasi yataongezeka.

Wakati wa Nuhu watu walikuwa wanaambiwa hivihivi wakapuuza mpaka gharika ikaja ghafla ikawaramba!
 
Dini zinawapumbaza! Uvivu wenu Trump abebe dhamana? Fedha ni za walipa kodi wa US na kwa ajili ya US na nyie fanya vyenu mpate vyenu
 
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."

Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).

Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).

Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).

Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Kwamba haya ni kwa trump but Not CCM?
 
Shetani anawapumbaza. Mnapewa red signal mnaendelea kupuuza tu. Hata wakati wa Nuhu watu walitahadharishwa hivihivi wakapuuza, gharika ikaja ghafla ikawaramba.

Kwani Marekani ilianza juzi kutoa misaada? Kwanini ikatwe sasa kama sio red flag ya ubinafsi na uchoyo uliotabiriwa kuwa utaongezeka siku za mwisho.

Connect the dots..huyohuyo ndiye aliyetamka vita kuu ya tatu...

Connect the dots... red heifers wameishapatikana tayari na kuna maandalizi ya kuanza kujenga hekalu la tatu Israel.
 
Kwamba haya ni kwa trump but Not CCM?
Nimekuambia ya Trump, hayo ya wengine utajaza mwenyewe. Mimi nimeishakuonyesha red flag kwamba hizi ni siku za mwisho tuwe tayari kwa ujio wa Yesu. Period
 
Binadamu amekuwepo kama miaka 600 million iliyo pita so wewe endelea kusema sijui red frag. Maisha ni haya haya
 
Acha kudanganywa na evolution theory ya mpumbavu Darwin. Soma hii article ufute mavumbi kwenye ubongo wako:

A Biblical Foundation for Creation
The Genesis account of creation presents a clear and authoritative explanation of human origins, stating that God created the heavens, the earth, and all living beings in six literal days (Genesis 1:1-31). This direct act of divine creation leaves no room for random evolutionary processes that suggest life arose by chance. To accept evolution is to undermine the foundational truth of Scripture and question the authority of God’s Word. If Genesis is interpreted metaphorically, then the rest of the Bible—including the doctrine of sin and salvation—becomes uncertain. Jesus Himself affirmed the historical reality of Adam and Eve (Matthew 19:4), showing that mankind was uniquely created, not evolved. Ken Ham, in his book The Lie: Evolution, emphasizes that compromising on Genesis ultimately compromises the Gospel itself.

Scientific Limitations of Evolution
Despite its widespread acceptance, evolution fails to meet the rigorous standards of observable, repeatable science. While microevolution (small changes within species) is observable, macroevolution—the transformation of one kind of organism into another—remains unproven. If evolution were true, we should find countless transitional fossils demonstrating gradual changes between species, yet the fossil record instead reveals fully formed creatures appearing suddenly, which aligns more closely with Biblical creation than with Darwinian evolution.

Furthermore, claims that fossils have been tested to prove that mankind lived millions of years ago rely on dating methods that are fundamentally flawed. Radiometric dating, often used to estimate the age of fossils, is based on assumptions about initial conditions, decay rates, and contamination—assumptions that cannot be independently verified. Many dating results have been inconsistent, with the same fossils yielding vastly different ages when tested by different methods. Soft tissue found in dinosaur fossils—supposedly millions of years old—directly contradicts the idea of vast time spans, as such biological material could not survive for millions of years. The evidence fits far better with a young Earth model and the global Flood described in Genesis. Ken Ham, in The New Answers Book 1, argues that evolutionary dating methods are built on secular assumptions rather than objective science.

The Moral and Theological Consequences of Evolution

Evolution is not merely a scientific theory; it has profound theological and moral implications. If humans evolved from animals, then sin and death must have existed before Adam's fall, contradicting Romans 5:12, which states that "through one man sin entered the world, and death through sin." This undermines the very foundation of Christian redemption—if Adam was not a real historical figure, then why did Christ need to die to atone for sin? Furthermore, the evolutionary worldview fosters a purposeless, survival-of-the-fittest mentality, which has historically been used to justify eugenics, racism, and moral relativism. In contrast, the Biblical worldview teaches that all humans are created in God’s image (Genesis 1:27), giving each person inherent worth and divine purpose. Ken Ham, in Six Days: The Age of the Earth and the Decline of the Church, warns that abandoning Genesis leads to a rejection of absolute moral truth, opening the door to secular humanism.

Faith and Science in Harmony
There is no conflict between true science and the Bible—rather, when properly interpreted, scientific discoveries confirm God’s creation. The intricate design of DNA, the irreducible complexity of biological systems, and the fine-tuning of the universe all point to an intelligent Creator, not random evolutionary processes. While secular science is constantly changing, the Word of God remains unchanging and infallible (Isaiah 40:8). Instead of conforming to the shifting ideas of secular science, believers must uphold a creation-based worldview—one that is both scientifically sound and faithfully aligned with Scripture. Ken Ham, in Gospel Reset: Salvation Made Relevant, asserts that Christians must trust God's Word over human theories, as evolution is not based on unbiased observation but on assumptions rooted in naturalism.
 
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."

Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).

Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).

Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).

Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Duh apa kazi bado ya moto🔥
 
Back
Top Bottom