Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

Secretary of State Marco Rubio said early Monday that 83% of programs funded by U.S. Agency for International Development, or USAID, are being canceled, in the latest for the beleaguered agency that provides humanitarian aid overseas and has become the target for the Elon Musk-helmed Department of Government Efficiency, or DOGE.

Rubio said on his personal X account that the cancellations come after a six-week review, and that "the 5200 contracts that are now cancelled spent tens of billions of dollars in ways that did not serve, (and in some cases even harmed), the core national interests of the United States."

Aiseeee..... Hatariiiizzz.....
 
Attachments

  • 20250228_142310.jpg
    20250228_142310.jpg
    306.5 KB · Views: 1
  • 20250228_142425.jpg
    20250228_142425.jpg
    243.2 KB · Views: 1
  • 20250228_142348.jpg
    20250228_142348.jpg
    256.5 KB · Views: 1
hakuna msabato wa kuweza kupata mafunuo makubwa haya. Huyu ni m-Kristo kwelikweli! Hivi unafahamu kuwa wasabato sio wa-Kristo?
sijui kama sio wa Kristo ila ndo mambo yao hayo kilasiku kuongelea siku za mwisho,

according to gospel: Yesu alisema hakuna atakayejua ndo huu au ndo ule unakuja

according to science: wanasayansi mbalimbali wamekua na theory mbalimbali zitakazo sababisha mwisho wa maisha na calculations

mwisho wa dunia umesha tabiriwa zaidi ya mara 200 katika millennium hii ( zile kubwakubwa zote za kisayansi na ki dini )
inamaanisha wastani wa mara moja kila baada ya miaka 10
ila zote hazikua sahihi

ni kawaida ya binadamu kuwaza hilo miaka na miaka tangu zamani
 
Secretary of State Marco Rubio said early Monday that 83% of programs funded by U.S. Agency for International Development, or USAID, are being canceled, in the latest for the beleaguered agency that provides humanitarian aid overseas and has become the target for the Elon Musk-helmed Department of Government Efficiency, or DOGE.

Aiseeee..... Hatariiiizzz.....
Duh, wamenyang'anywa mkate!

Siku za taabu hizi, kama ilivyotabiriwa.
 
sijui kama sio wa Kristo ila ndo mambo yao hayo kilasiku kuongelea siku za mwisho,

according to gospel: Yesu alisema hakuna atakayejua ndo huu au ndo ule unakuja

according to science: wanasayansi mbalimbali wamekua na theory mbalimbali zitakazo sababisha mwisho wa maisha na calculations

mwisho wa dunia umesha tabiriwa zaidi ya mara 200 katika millennium hii ( zile kubwakubwa zote za kisayansi na ki dini )
inamaanisha wastani wa mara moja kila baada ya miaka 10
ila zote hazikua sahihi

ni kawaida ya binadamu kuwaza hilo miaka na miaka tangu zamani

Hakuna ajuaye siku wala saa! ila majira yake tunayajua kutokana na unabii ulioko katika neno la Mungu, yaani Biblia.
 
sasa wewe utaufananishaje huo utabiri moja kwa moja na trump kisha ukaamini ndo moja ya utabiri wenyewe kwaiyo mwisho umekaribia ?
 
Duh, wamenyang'anywa mkate!

Siku za taabu hizi, kama ilivyotabiriwa.
hivi kama hizi ni siku za taabu je kipindi cha utumwa na ukoloni ilikuaje ?

mimi sikubaliani kabisa na baadhi ya watu mnavyoitafsiri biblia

ukitafsiri vibaya na ukaja kuwaaminisha watu maana yake unapotosha, je una uelewa wowote wa teolojia ?

je mwisho umekaribia ukaribu huo tuuchukuliaje ( miaka 20 ijayo 50, au 100 ijayo )
yaani ukaribu huo una range kwenye miaka ngapi ?
 
haya mataifa makubwa yaliyoko duniani yametajwa kinabii kwenye Biblia.
ukirudisha miaka nyuma utakuta mataifa makubwa hayakua haya ya sasa utakuta Roma, ugiriki etc
utajuaje yalizungumziea hayo

miaka ijayo huenda ukakuta mataifa makubwa si haya tena yamekua mengine

sio vyema kuitafsiri biblia vile tu unavyojiskia na kuaminisha watu

baada ya trump putin Netanyahu etc hatujui watakuja kina nani

walishapita kina hitler

tulishapitia wakati wa utumwa na biashara ya binadamu

tulishapitia vita vya dunia mara 2

je saivi una relate vipi yanayoendelea sasa moja kwa moja na yaliyoandikwa kwenye biblia kwa kujiamini upo sahihi ?

hamna yoyote anaejua dunia itafikanlini mwisho na ni kwa namna gani

inaweza ikawa imekaribia kuliko hata tunavyo predict na pia inaweza ikawa mbali sana zaidi ya imagination zetu

hata kwenye biblia imeandikwa miaka 1000 ni kama siku moja tu kwa Mungu

sisi tunafikiria kadiri ya life span yetu, miaka 80 tunaiona mingi
hata nyuki anaeishi siku saba tu, anazionannyingi mno sawasawa kabisa na sisi tunavyoiona miaka 70

tangu kuja kwa Yesu imepita miaka 2000 tu, sisi tunaiona ni mingi sana kwasababu ya life span yetu ya miaka 80 hadi 100s

lakini miaka 2000 usii relate na lifespan ya binadamu kwa dunia ni muda mchache sana

imagine kuna miti life span yake ni zaidi ya miaka 1000

mwisho wa dunia upo karibu je hiyo karibu ni ipi ? inaweza hata ikawa miaka 100000 au 1000000 etc

miaka 1000 ni kama siku ya jana tu Kwa Mungu
uki relate kwa life span ya binadamu ni mingi mno, ila kwa life span ya Nature au ya Dunia ni michache mno
 
naon

naona wewe unabishana na Roho wa Mungu. go on! Hata wakati wa Nuhu walikwepo watu kama wewe. Safina ikawaacha.
 
sisi waafrica wenye uchungu na bara la africa tunawaomba wamarekani trump awepo ikulu had 2040 tu inatosha kabisa
 
Back
Top Bottom