Ni kweli, mkuu. Lakini yatima na wajane tukiwaambia wajitegemee watatoboa? Na tunaambiwa dini iliyo safi ni kwenda kuwatazama hao na kuwasaidia katika dhiki yao. Tena Biblia inasema wapeni watu vitu... uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu alivyo navyo. Mkumbuke yule tajiri aliyelima, akavuna na kuandaa ghala ili apumzike ale anywe; aliambiwa 'mpumbavu wewe usiku huu wanaitaka roho yako ulivyojiwekea vitakuwa vya nani.?'Bibilia imesema amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu.
1.Kama ndo matumizo ya biblia,watu mnaitumia hovyo sana, ndo maana watu hawataki ukristoMdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."
Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).
Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).
Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).
Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Usiseme watu hawataki, sema wewe hutaki.1.Kama ndo matumizo ya biblia,watu mnaitumia hovyo sana, ndo maana watu hawataki ukristo
Mimi nimezungumzia misaada in general. Kwani Marekani imekuwa ikitoa misaada ya silaha tuYaani mungu gani ambaye anasapoti huo ujinga? Kwamba USA itoe misaada kwa UKRAINE ili apigwe mrusi? Kwamba mrusi hapendwi na huyo mungu?
Biblia inasema dini iliyo safi ni kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao. Mungu anapotujalia baraka tunatakiwa kwenda kuwasaidia maskini wenye uhitaji. Ukisubiri Mungu ndiye aende akawape msaada yatima, utasubiri sana, mkuu2. Kwanini mungu asiwape msaada hao wa ukraine mpaka ategemee marekani
Sawa mkuu, Umejibu vyema!!Fika, Mombasa, Tanga na Zenji uone jinsi vijana wanavyoliwa na masheikh eti wanasingizia sunnah!
WALOKOLE mmekuwa wapiga ramli kila kitu ni kuhisi tu halafu mkiulizwa we umejuaje unasema umeona katika ulimwengu wa roho(uongo mtupu).Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."
Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).
Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).
Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).
Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Je, katika jamii yako umehudumia hao wajane kwa kiwango gani?Ni kweli, mkuu. Lakini yatima na wajane tukiwaambia wajitegemee watatoboa? Na tunaambiwa dini iliyo safi ni kwenda kuwatazama hao na kuwasaidia katika dhiki yao. Tena Biblia inasema wapeni watu vitu... uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu alivyo navyo. Mkumbuke yule tajiri aliyelima, akavuna na kuandaa ghala ili apumzike ale anywe; aliambiwa 'mpumbavu wewe usiku huu wanaitaka roho yako ulivyojiwekea vitakuwa vya nani.?'
Taifa likibarikiwa, kutoa msaada kwa maskini ni jambo la kibiblia kabisa. Lakini kwakuwa ni siku za mwisho, upendo huo tayari umeanza kupoa. Watu watajipenda wenyewe.
Unatia watu hofu Baadaye watoe sakada ,haya yalikuwepo huko nyuma, sema trump hapepesi neno ni mtu wa dry ama makavuMdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."
Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).
Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).
Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).
Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Sadaka utanipaje wakati hujui hata niko wapi. Hofu utakuwa nayo kama maisha yako ni ya dhambi lakini kama unaishi kwa kumpendeza Mungu si ni furaha kujua kwamba ujio wa Yesu umekaribia.Unatia watu hofu Baadaye watoe sakada ,haya yalikuwepo huko nyuma, sema trump hapepesi neno ni mtu wa dry ama makavu
Kwamba haya ni kwa trump but Not CCM?Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu; watatokea watu wasio na upendo moyoni, wasio na huruma, wachongezi, walafi na wakali; watachukia chochote kilicho chema; watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu. Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake."
Kitendo cha Rais Donald Trump kutoa agizo la kusitisha misaada ambayo Marekani ilikuwa ikitoa kwa nchi mbalimbali, kinatimiza unabii huo(watu watakuwa na ubinafsi).
Kitendo cha Rais Trump kutaka kusaini kwanza mikataba ya madini Ukraine na DRC ndio misaada ya ulinzi itolewe kinatimiza unabii huo(wenye tamaa ya fedha).
Kitendo cha Rais Trump kumnenea Rais Zelensky maneno yaliyomfanya anyong'onyee, kinatimiza unabii huo(wenye majivuno, wenye kujiona).
Hakika hizi ni siku za mwisho. Yesu amekaribia kuja. Hatuijui siku wala saa, lakini tukeshe kwa kuishi maisha matakatifu; maana kwa siku na saa tusiyodhani Yesu atakuja kuwanyakua wanaomwamini tu na kuwapeleka mbinguni. Watakaoachwa watabaki kwenye dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Habari za dhiki hiyo kuu zimeandikwa katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Let all endowed with the faculty of hearing perceive and discern.
Shetani anawapumbaza. Mnapewa red signal mnaendelea kupuuza tu. Hata wakati wa Nuhu watu walitahadharishwa hivihivi wakapuuza, gharika ikaja ghafla ikawaramba.Dini zinawapumbaza! Uvivu wenu Trump abebe dhamana? Fedha ni za walipa kodi wa US na kwa ajili ya US na nyie fanya vyenu mpate vyenu
Binadamu amekuwepo kama miaka 600 million iliyo pita so wewe endelea kusema sijui red frag. Maisha ni haya hayaNimekuambia ya Trump, hayo ya wengine utajaza mwenyewe. Mimi nimeishakuonyesha red flag kwamba hizi ni siku za mwisho tuwe tayari kwa ujio wa Yesu. Period
Acha kudanganywa na evolution theory ya mpumbavu Darwin. Soma hii article ufute mavumbi kwenye ubongo wako:Binadamu amekuwepo kama miaka 600 million iliyo pita so wewe endelea kusema sijui red frag. Maisha ni haya haya
Duh apa kazi bado ya moto🔥Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi: