Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Kaduguda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2008
Posts
724
Reaction score
641
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19.

Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati. Amewaambia wajitafakari wakati US ikiendelea kufanya uchunguzi wake.

Mtazamo wangu: Ngoma ndio kwanza imeanza, japo wataalamu wanaona hii ni mbinu mbadala ya ku-deviate lawama ambazo wamarekani wamekuwa wakizielekeza kwenye utawala wake kwa kuchelewa kuchukua hatua juu ya ugonjwa huo.

=======

President Donald Trump announced Tuesday he is halting funding to the World Health Organization while a review is conducted.

Trump said the review would cover the WHO's "role in severely mismanaging and covering up the spread of coronavirus."

Trump's announcement comes in the middle of the worst global pandemic in decades and as he angrily defends his own handling of the outbreak in the United States.

Amid swirling questions about whether he downplayed the crisis or ignored warningsfrom members of his administration about its potential severity, Trump has sought to assign blame elsewhere, including at the WHO and in the news media.

The US funds $400 million to $500 million to the WHO each year, Trump said, noting that China "contributes roughly $40 million."

"Had the WHO done its job to get medical experts into China to objectively assess the situation on the ground and to call out China's lack of transparency, the outbreak could have been contained at its source with very little death," Trump said.

His decision to withdraw funding from the WHO follows a pattern of skepticism of world organizations that began well before the coronavirus pandemic. Trump has questioned US funding to the United Nations, withdrawn from global climate agreements and lambasted the World Trade Organization -- claiming all were ripping off the United States.

Democratic Sen. Chris Murphy of Connecticut, who serves on the Senate Foreign Relations Committee, said earlier Tuesday that while the WHO and China "made mistakes," Trump is also looking to deflect blame from his own administration.

"Right now, there is a very coordinated effort amongst the White House and their allies to try to find scapegoats for the fatal mistakes that the President made during the early stages of this virus," he said.

Murphy added: "It is just wildly ironic that the President and his allies are now criticizing China or the WHO for being soft on China when it was in fact the President who was the chief apologist for China during the early stages of this crisis."

Trump said Tuesday if the WHO had acted appropriately, he could have instituted a travel ban on people coming from China sooner.

He said the WHO made a "dangerous and costly" decision to oppose travel restrictions from China.

But just days before Trump instituted his ban on travelers from China, he also was praising the country.

On January 24, Trump tweeted: "China has been working very hard to contain the Coronavirus. The United States greatly appreciates their efforts and transparency. It will all work out well. In particular, on behalf of the American People, I want to thank President Xi!"

Later Tuesday, US Secretary of State Mike Pompeo echoed Trump's criticism of the WHO, but did not specifically react to the announcement that the US would withhold funds from the global body.

"We need answers to these questions, we need transparency and we need the World Health Organization to do its job, to perform its primary function, which is to make sure that the world has accurate, timely, effective, real information about what's going on in the global health space, and they didn't get that done here," Pompeo said in an interview with Fox News' Sean Hannity.

Pompeo had reiterated the administration's dissatisfaction with the international organization amid the coronavirus pandemic in a series of interviews prior to the President's announcement.

"The World Health Organization in its history has done some good work. Unfortunately, here it didn't hit the top of its game, and we need to make sure that we push through efforts to fundamentally change that or make a different decision that says we're going to do our part to make sure that these important world health obligations, things that frankly keep Americans safe too, actually function," Pompeo said in an interview with "Good Morning Orlando."

And just weeks earlier, Pompeo and the State Department had highlighted the US contribution to the global pandemic response, including its role as "the largest supporter of the World Health Organization since its creation in 1948."

Tuesday's announcement about the halting of funding came days after a major US ally -- the United Kingdom -- announced an additional £65 million contribution to the WHO.

The move to freeze the funding is the latest in a series of administration actions against international multilateral organizations. Prior to the pandemic, the administration's fiscal year 2021 proposal laid out a $65 million cut to the World Health Organization -- a more than 50% decrease over FY20.

Trump halts World Health Organization funding over handling of coronavirus outbreak
 
Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati
yule mzee aache kupaniki, mapema kabisa wakati hata maambukizi hayajafika kwake alikua na kejeli sana na alijua kila kitu.... sasa taarifa gani alitaka!? akanong'onezwe sikioni au? Stupid fat old man.
 
Kaduguda,

Trump alipo funga boarder January kwa wachina wangapi walimuunga mkono?

Most news outlets are very liberal n.a. against trump ..ukiingia YouTube unatafuta news mwenyewe unakuta news outlet kama CNN ni waongo saana wapo tayari kudanganya chochote kuhusu trump ndoo maana ratings zao zashuka saana

Trump kushinda 2016 was not shocking kama mtu anatafuta habari mwenyewe

TRUMP ALIKOSEA KUDEAL NA CORONA HATA KAMA ALIREACT JANUARY... LEADERS KALIBIA WOOTE DUNIANI MWANZONI WALIPUUZIA. DR WETU BADO ANAPUUZIA!!

TEDROS NA WHO..
Jan 14 - wanaiambia dunia kwamba corona haiwezi sambaa human to human..

Jan 18 - Sherehe ya mwaka mpya yafanyika WUHAN ground zero ya ugonjwa .. watu walisherekea n.a. wa2 wakaruhusiwa kusafiri wanapotaka

Hapo wana ECHO china wanachosema Bila kufanya INDEPENDENT investigation.

China ni inchi ya pili kwa kufund WHO ya kwanza ni marekani...

TEDROS ni corrupt since akiwa ethiopia n.a. ni very china based.. WHO anashindwa hata kumtambua TAIWAN kama nchi au kumpa msaada

WHO NA CCP are one n.a. wameeingiza dunia matatizoni

RESEARCH ILIFANYIKA WAKATI WHO NA CCP WANAFICHA KAMA WANGEIAMBIA DUNIA THREE WEEKS EARLIER 95% ya vifo duniani visingetokea n.a. ugonjwa usinge sambaa geographical area kubwa!!

HAAMNA NCHI IMETESEKA NA CORONA KAMA ECUADOR!!

JOTO KAMA HAPA... FAILED GOVERNMENT KAMA HAPA... POOR KAMA HAPA!!
 
Ukisikia balaa jingine siku umepata ajali, ndo hili.

Rais Trump masaa machache yaliyopita, amesitisha Serikali yake kuifadhili WHO, Shirika la Afya duniani.

Sababu kubwa ni siasa mbaya zinazomkabili Trump nchini kwake.
Vifo kutokanana COVID19 vinaendelea kwa kasi na Rais Trump analaumiwa kwa kuzembea kazi na kutofanya mtayarisho ya kutosha wakati pale China ilipopata maambukizi mnano January 2020.

Trump anasukumia lawama kwa WHO, eti hawakuishauri dunia mapema juu ya COVID19.

Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa Marekani, nchi yenye nguvu na uwezo mkubwa, haiwezi kuitegemea WHO kwa ushauri wa maambukizi ya magonjwa.
Kuna kitengo cha CDC(kitengo cha Disease control), cha Marekani ambacho kina uwezo mkubwa zaidi na kilitoa onyo mapema.
Kama kawaida yake Trump alikipuuzia.

Sasa lawama ziko kwa mkuu wa nchi. kwa nini hakuwasikiliza wataalam.

Kwa nchi zetu hizi za kiafrika tunaotegemea misaada ya afya kwa kweli twafwa.
Trump halts World Health Organization funding over coronavirus 'failure'
 
Hapa kunajambo la kujifunza kwa viongozi wetu kwani hili tatizo inabidi tufuate maelekezo ya wataalam wa afya na siyo kuwasikiluza wanasiasa uchwara.

Wanasiasa wanatakiwa kuwafikishia wananchi maelekezo ya wataalam na si kufanya kazi ya kuwabeza na kuwatisha wananchi.
 
Ila Trump akili zake fyatu,Sasa janga limeikumba dunia nzima na yy alishauriwa hakuskia anakuja itupia lawama WHO!!!nn hatma ya sisi huku Africa Kama Marekani kajiondoa!?
 
Back
Top Bottom