Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

ngoja na kwingineko watunwchomoe pesa zao ARV NA DAWA ZA MARELIA ZIADIMIKE... ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno
 
yule mzee aache kupaniki, mapema kabisa wakati hata maambukizi hayajafika kwake alikua na kejeli sana na alijua kila kitu.... sasa taarifa gani alitaka!? akanong'onezwe sikioni au? Stupid fat old man.
mkomunist wewe ulizoea vya bure, unaona kule china nao wamewastukia
 
Trump alibeza mwenyewe huu ugonjwa na kusema ni "hoax" au chinese virus. Sasa mambo nchini kwake yameharibika kuliko hata kule shida ilipoanzia sasa anatafuta wa kumtupia lawama...
kwanini kubeza kwa Trump dhidi ya Corona unakupa nguvu sana kuliko kiongozi mwingine?.
uzito wa Corona china ndo ilikuwa inaujua, mataifa mengine hayakujua mziki wake.
kama ni kubeza hata JPM anabeza, anaamini kwamba kwenda nyumba za ibada kuna zuia Corona.
Who na china walipaswa kutoa tahadhari mapema.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaduguda,
Siyo kweli, wachina walikuwa wanaficha information nyingi, soma ugonjwa ulivyoanza kwanza, na walivyokuwa wanatetea kuwa milango isifungwe. Kwa nini huu ukomunist umewaingia sana katika bongo zenu wala kufikiri hakupo?

Walisema huu ugonjwa hauambukizi kwa mtu kwa mtu, yule daktari aliyetoa siri ya huu ugonjwa akakamatwa na kupewa onyo. Baada ya mambo kuharibika wakaanza kutangaza. Wameeneza nchi zote sasa wao wamejifungia, na wanasema huu ugonjwa ulikuwapo, haujatokea kwao. Na hii ya kuwa nyanyasa weusi ni kusudi tu watasema ulitoka Africa. Ngojea tu.
 
Hawa jamaa WHO ni wapuuzi sana, wanaelekea kuteketeza dunia kwa uoga wa kuiogopa china, wangestuka mapema na kutoa taarifa yote haya yasingetokea. Pia China anastahili adhabu kwa kuruhusu hii kirusi isambae duniani..

Kwasasa USA tunawaombe wache msaada uendelee tutakwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Trust me hata WHO wangetoa taarifa Bado Kuna viongozi wangepuuzia tu.

Kwani saivi hamna taarifa kwamba ugonjwa unasambaa kwa njia gani?

Tanzania mmechukua hatua gani zaidi ya kufunga shule?
 
naungana na trump kwa 100 %

1586926255869.png


Rais wa Marekani Trump asitisha fedha kwa shirika la afya Duniani WHO dola milioni 400 kwa mwaka kwa sababu amesema shirika hilo halikutilia maanani kwa namna ilivyopasa hatari ya maambukizi ya virusi
vya corona.

swali langu mimi MakinikiA kwa dunia Je nani anastahili kupambana na corona virus ,je taasisi za afya au taasisi za usalama wa taifa ?
 
yule mzee aache kupaniki, mapema kabisa wakati hata maambukizi hayajafika kwake alikua na kejeli sana na alijua kila kitu.... sasa taarifa gani alitaka!? akanong'onezwe sikioni au? Stupid fat old man.
Kosa sio la who. Alizingua mwenyewe. Alidhrau ugonjwa wkt mataifa mengine yanaendelea kujikinga yeye akawa anapiga siasa.
Anatafuta mtu wa kumdondoshea lawama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is clearly trying to blame someone else for his shortcoming. It's the only thing he's actually good at.

Democratic Hoax didn't work.
Chinese virus didn't work
Blaming Obama didn't work
Etc
And now he's blaming WHO for his failure.
 
WATANZANIA ACHENI KUJADILI MAMBO YA WENGINE, FAULTS ZA TRUMP ZITABAKI KUWA ZA KWAKE,.

HIVI HIVI MNAVOMSEMA TRUMP KUWA ALISEMBEA MWANZONI KWA KUUKEJELI UGONJWA, VIVO HIVYO NA NINYI NDIVYO MTAKAVYOKUWA MNAJADILIWA NA NCHI ZA JIRANI HAPO MBELENI.

MUNGU BADO NI MWENYE HURUMA
 
Kuondoa msada huo ni janga jingine. Lakini nakubaliana na Marekani kwa 100% kuwa WHO haikutekeleza wajibu wake.

Kwanza ilitakiwa ifanye uchunguzi wa kutosha huko China mapema ilivyowezekana. Na baada ya kugundua hatari iliyokuwepo, kulikuwa na ulazima wa kuiweka kwenye karantini China yote mpaka ugonjwa udhibitiwe.

WHO ilitakiwa kutoa mwongozo wa kuzuia mtu yeyote toka mataifa mengine kwenda na kutoka China. Kama Dunia, ilikuwa rahisi zaidi kuidhibiti cirona ndani ya Taifa moja kuliko ilivyo sasa ambapo mataifa yote yanahangaika, na hakuna wa kumsaidia mwingine.

Na hapa kwetu, tukisrma tusikilize uropokaji wa akina Makonda na wenzake kama hao akina Mwigulu, tutakuja kujuta.
 
kazee hakana akili? angekuwa Rais wa marekani? Wewe huoni kama vile anafanya muwe mnawajibika? Yee atoe Millon 460 dollar ati mchina 30 millon halafu mnampigia kura Mchina. haaa, na dawa za Ukimwi anatoa yeye Trump, sasa kula kwa Trump, mnampigia kura mchina. Wapi na wapi??
Unahisi kuwa RAIS Wa US Ndio Kua Na Akili ?!
Mhim kila mtu asimame kwamiguu yake kashaamua kukata msaada wacha akate halitakua shirika lakwanza hili kulikatia misaada ama kujitoa kwaupuuzi wao wanataka kila mtu afuate wanayoyataka wanakosea sana nakile kibabu ndio kina kamilisha mwanzo wamwisho wa ubabe wa US Nisuala lamuda tu.

Ishu ni US Kutoa Msaada Mkubwa Ama Nn Kama kutoa Msaada Mkubwa Wala Haja Anza Leo Jamaa Anaona Pesa Imekua Ngumu kwao Anatafta Pakujifichia [emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
 
Haka kazee hakajawahi kujaaliwa akili haka[emoji3][emoji3][emoji16]
Atazivunja Taasisi zote ambazo anahisi hazikubaliani nao kwa upuuzi wahaka kazee

Ila sio mbaya anaifunza dunia namna yakutembea kwamiguu yao bila ya msaasa wa US.

Sent using My COVID-19
Ayatollah mwenye akili si angekuwa namba moja duniani.
Au pastor Putin si angekuwa namba moja.
 
Back
Top Bottom