Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Bado kujitoa DUNIANI tusasa Maana Hakuna Namna kwakweli.USA inakufa...ilijitoa UNESCO sasa WHO...mahakama ya kimataufa pia haimo...initoe hata kwenye UN...
Sent using My COVID-19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kujitoa DUNIANI tusasa Maana Hakuna Namna kwakweli.USA inakufa...ilijitoa UNESCO sasa WHO...mahakama ya kimataufa pia haimo...initoe hata kwenye UN...
Bwege, fala na matahira ni wale wavaa magauni wa Iran (mashia) ambao haeana msaada wowote kwa dunia.Hapo nimeonesha kwakiasi gan naujua nakuuelewa mchango wa US Duniani nanikakujibu kabisa kujitoa kwa US Kwenye WHO Kuna Athari
Ila bora alivyojitoa maana kuna wakati mtu mmoja akiwa anajua mda mtegemea kwenye kitu flan atataka awafanye kama kawaoa madhara yake ndio haya anayoyafanya US
Alijitoa UNESCO Sababu nn Na UNESCO Ipo Alipo Ambiwa Wanajeshi Wakw Wahalifu Akajitoa ICC Kisa Nn Akajitoa Katika Mkataba wahali Yahewa kisa Nini NaSasa kajitoa WHO Kisa Hakijulikani
Nawaambienu Huyu Bwege Atajitoa Mpaka Duniani Kama Hamuamini Haya
Sent using My COVID-19
Sawa..![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Wewe bana Dakota usome wewe...
Kichwani umebeba Maganda ya makebichi na Nyanya.
Familia yako inakufa kwa njaa huko Handeni wewe unamtetea trump hapa.
China aliruhusu vipi corona isambae mkuu?Kaduguda, Hawa jamaa WHO ni wapuuzi sana, wanaelekea kuteketeza dunia kwa uoga wa kuiogopa china, wangestuka mapema na kutoa taarifa yote haya yasingetokea. Pia China anastahili adhabu kwa kuruhusu hii kirusi isambae duniani..
Kwasasa USA tunawaombe wache msaada uendelee tutakwisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
ww nataifa lako mna msaada gani nadunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwege, fala na matahira ni wale wavaa magauni wa Iran (mashia) ambao haeana msaada wowote kwa dunia.
akikujibu unitag...
Wapu mbavu kama nyie mpo wachache siku hizi. Trump alipokuwa akiimba nyimbo za kubeza na kutukana akijidai corona haiwezi kuingia marekani alifikiri nini?Chamsingi mkuu wa shirika la afya duniani alitakiwa kujiuzulu kwa kuipendelea China kipindi cha mlipuko. Halafu kakaa kimya kipindi hiki china inavyowanyanyapaa waafrika. Kaduguda,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mmarekani wa tandale.Keep dreaming he got more 4 years to save America
UMEANDIKA KWA TENSION SANA
Hivi ulitaka WHO amtambue TAIWAN as a NATION huku TAIWAN sio member wa UN (Recognized)
Pili usiji Trumplize mpaka ukajisahau Ufuasi usikusahaulishe kua Wingi wa kura zilimwangukia mpinzani wa Trump
Yani chombo kinachoangalia popularity na kuripoti obvious kingeakisi upande usio wa Trump hivyo Ushindi wa Trump ni suprise hasa kwa upande wa Dunia usioFamiliar na ElectroVote
Trump alishawishiUSA kwamba ameAct fast... issue za Research huwezi kulaumu taarifa zinapobadilika...coz hata sasa watu wanasearch taarifa bado.
Poa brotherSawa mmarekani wa tandale.
Taifa langu limeipa gesi China free!ww nataifa lako mna msaada gani nadunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani kama msipo saidiwa hata kunywa maji hamuwezi[emoji23][emoji16][emoji2][emoji12][emoji14]
Sent using My COVID-19
Ayatollah mwenye akili si angekuwa namba moja duniani.
Au pastor Putin si angekuwa namba moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..Yes kuwa Rais wa US ndiyo kuwa na akili, usifikiri watu smart kama akina Mark Zuckerberg, Bill gates, Elon Musk, Larry Page, nk wanaweza kuchagua kilaza kuwaongoza. Wewe kama unaona kukaa hapo Kariua na kuvuta tumbaku ndo una akili kuliko POTUS hizo tumbaku zako zinakudanganya.View attachment 1419525View attachment 1419526View attachment 1419527
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nchi zinazofaidika na hao WHO, Zitoe michango kuziba hilo gap.Usishangilie mkuu,kwa Marekani kusitisha mchango kwa WHO ni pigo kwa dunia nzima hasa nchi changa,ukijua kazi ya hii organization kwa dunia hilo sio swala la kushangilia,na hasa ukichukulia kuwa marekani ndio wanaotoa mchango mkubwa zaidi ya nchi zote...
Sent using Jamii Forums mobile app
$400MNataka kujua tu ni kiasi gani US huwa anachangia Kwenye hii taasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao unawaona hawana maana wamewapa mambo mangapi QATARTaifa langu limeipa gesi China free!
Taifa langu limegawa sana rasilimali zake za madini kwa mataifa mengine.
.
Taifa langu limegawa maeneo mahotel makubwa makubwa ya foreigners yamejengwa hadi yenyewe haijui yamejengwaje