Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

USA inakufa...ilijitoa UNESCO sasa WHO...mahakama ya kimataufa pia haimo...initoe hata kwenye UN...
Bado kujitoa DUNIANI tusasa Maana Hakuna Namna kwakweli.

Sent using My COVID-19
 
Bwege, fala na matahira ni wale wavaa magauni wa Iran (mashia) ambao haeana msaada wowote kwa dunia.
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Wewe bana Dakota usome wewe...
Kichwani umebeba Maganda ya makebichi na Nyanya.

Familia yako inakufa kwa njaa huko Handeni wewe unamtetea trump hapa.
Sawa..!
 
China aliruhusu vipi corona isambae mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwege, fala na matahira ni wale wavaa magauni wa Iran (mashia) ambao haeana msaada wowote kwa dunia.
ww nataifa lako mna msaada gani nadunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

yaani kama msipo saidiwa hata kunywa maji hamuwezi[emoji23][emoji16][emoji2][emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
 
Chamsingi mkuu wa shirika la afya duniani alitakiwa kujiuzulu kwa kuipendelea China kipindi cha mlipuko. Halafu kakaa kimya kipindi hiki china inavyowanyanyapaa waafrika. Kaduguda,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapu mbavu kama nyie mpo wachache siku hizi. Trump alipokuwa akiimba nyimbo za kubeza na kutukana akijidai corona haiwezi kuingia marekani alifikiri nini?
 
Upo wrong on many areas

Electoral college NOT electrovote won trump the election

Wisconsin, Michigan, Pennsylvania cost hillary the election

In short you are very mis and under-informed..
 
ww nataifa lako mna msaada gani nadunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

yaani kama msipo saidiwa hata kunywa maji hamuwezi[emoji23][emoji16][emoji2][emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
Taifa langu limeipa gesi China free!
Taifa langu limegawa sana rasilimali zake za madini kwa mataifa mengine.
.
Taifa langu limegawa maeneo mahotel makubwa makubwa ya foreigners yamejengwa hadi yenyewe haijui yamejengwaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..
ninecheka bure.
kwamba kuvuta tumbaku!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nchi zinazofaidika na hao WHO, Zitoe michango kuziba hilo gap.
 
Kijana unakwamia wap ?!
Taifa langu limeipa gesi China free!
Taifa langu limegawa sana rasilimali zake za madini kwa mataifa mengine.
.
Taifa langu limegawa maeneo mahotel makubwa makubwa ya foreigners yamejengwa hadi yenyewe haijui yamejengwaje
Hao unawaona hawana maana wamewapa mambo mangapi QATAR

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…