Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

haya mambo tunaona ni conspiracy theories ila iko siku yatakuwa wazi for everyone to see the truth.

Nendeni mkafanye research muone whats going on kati ya China,George Soros,Bill Gates,WHO,UNITAID,The so called CEPI,na makampuni mbalimbali yote yakiwa funded na Gates.

UNITAID ilianzishwa ili iweke utaratibu fulani ambao unawezesha developing countries kununua dawa kwa bei nafuu zaidi ya mataifa makubwa.

Punde kabla ya corona kuibuka na China nayo iliyo taifa kubwa ikaingizwa kwenye utaratibu huo wa kununua kwa bei ndogo,then ghafla corona ikaibukia China.

Haikudumu sana,ikapoa,ikaanza Ulaya na Marekani (kule ambako dawa zitauzwa kwa bei kubwa) ilikoleta uharibifu mkubwa kuliko China.

Tangu mwanzo China iliombwa kuelezea scale ya ugonjwa ikawa inaficha data.

Baada ya outbreak ndani ya China (kabla haijavuka mipaka) kuna wanasayansi wa kichina waliochunguza kirusi kwa haraka na kukielewa maumbile yake,kitu muhimu katika kuanzisha research za tiba na kinga.

Wataalamu wa US na wataalamu wengine nguli duniani wakaiomba China ifanye sharing ya hizo taarifa za kisayansi ili watu waanze kuhangaika nacho wakiwahi mapema kabla hakijaenea na kufika kwingine.China ikawapiga pini wanasayansi wake wote.

Wuhan laboratory ndio ilikuwa center ya research za virusi na manguli wa virusi na tiba zake wako hapo (its a level 4 lab).
Ndani ya wiki walishapata solution ya kudeal na coronavirus.
Wakapigwa pini,wakaondolewa wale seniors na jeshi likashika hatamu ya Wuhan lab chini ya meja jenerali!

Na hii ndio controversial lab inayonyooshewa kidole na every researcher wa hili jambo kuwa possibility ya chanzo cha tatizo.

Sasa goma limesambaa duniani mchina anatake leverage.
But is China alone?Kuna powers zozote behind China?!

Makampuni yanayofadhiliwa na Gates na wenzie yako bize kutengeneza Vaccines.

Soros na makampuni yake yaliyo na mizizi ndani ya China (kama vile GLD) pia yako bize na dawa ya kutibu.

Na hao wawili Gates na Soros wana syndicate fulani inayoonekana kwenye mambo mengi ya medical industry.

Ukiyafuatilia yana syndicate ndani ya China na WHO.

Anyway,tufuatilie but something fishy is going on in China.Yapo mengi ya kuandika hii topic.

Trump ana sababu.Kuna kitu,sio bure!
 
Sababu inaweza ikawepo lakini sidhanii kama inaweza ikawa kama hv ulivyo elezea.

Sent using My COVID-19
 
Sababu inaweza ikawepo lakini sidhanii kama inaweza ikawa kama hv ulivyo elezea.

Sent using My COVID-19
Hii ni tip tu mkuu.Something big is behind it.Go and do a research.
Muda utazungumza.Ntakuja kukukumbusha huu uzi muda ukifika.You will see the connection with my post.
 
Boss niko Dakota county, Minnesota. nasoma chuo kimoja hamna hata population kubwa eneo hili.
.
Embu nitajie basi hiyo mitaa hata kama ni nje ya hili jimbo (japo silijui sehemu kubwa) naweza kuuliza kwa wenyeji nikapata picha nikaweka hapa

Miaka ilopita masanja mchekeshaji alienda marekani jimbo moja hivi akaenda hadi vijijin aisee huko vijijin kuna kila kitu nyumba zimepangiliwa vizuri maji ya uhakika kila kitu barabara za lami
Masanja akasema jamani nipo eti kijijini alikuwa anashangaa balaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi niliko ni chuo cha kilimo kipo kijijini lakini ni posta ya Dar utofauti ni kwamba huku kwa sasa ni barafu tupu we play soccer on ice!
 
There are 21 seniors WHO directors (of all health experts) from different countries, More than Half are from America, Canada and Europe another 9 members are from other countries (Japan, Korea etc). There is only 1 from China.
How the hell can WHO be consider China centric???.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
akikujibu unitag.

Sent using My COVID-19
 
hahhahah foolish you! naenda kukusemea kwa babaaaa...ndio akina nyie hapo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we msengenyo una dharau sana, eti ukoo una nini, utafikiri wewe una kitu hapo ulipo kumbe choka mbaya tu umekaa juu ya mawe, kinyago cha mpapure wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is doing this because DG is from Africa

Bara ambalo halina mchango wowote zaidi ya kueneza magonjwa duniani kwa kutegemea kusali Mungu badala ya kufuata taratibu za kitaalam. We are not serious about anything.

Miezi mitatu baada ya kuingia madarakani Tedros alimteua MUGABE kuwa balozi wa WHO wa dunia, moto ukawaka dunia nzima, akamchomoa almost immediately!

Lenyewe Tedros lilikuwa KABUDI la foreign affairs wa Ethiopian dictatorships for many years.

Wa Ethiopia wenyewe walisema mikono yake imejaa damu yetu, waliandamana huyu KABUDI asipite, lakini akatetewa na kura ya CHINA, akapita. Sasa Trump anamng'oa.
 
Akilie changa inakusumbua ukikuwa utaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…