Tumia akili kufikiri sio kipaji chakubishana ulichojaaliwa.Kwa sababu hii nilidhani Ukraine yote ilipaswa kuwa mikononi mwa Urusi.
Kwanin Urusi iwe dude kubwa baada ya Trump kuingia madarakani?
Unadhan Urusi angekuwa dhaifu Marekani ingekaa nae chini kujadili amani au ingetumia nguvu za kijeshi.
Je Europe nao wangeona Putin dhaifu wangeishia kuchangia silaha na kushiriki vita kificho.Unadhan kwanini hawakutangaza vita kamili na mrusi maana wanamuona ni muonevu kwa ukraine.
Mbona kina Gadaffi hawakuitwa mezani wajadili amani ya Libya,Iraq ya Saddam je.